Wataalamu hebu tupeni black and white kuhusu hili la kuformat na kuricover file baada ya kuformat.
Mtaalamu mmoja aliniambia eti ukiformat maana yake umefuta kilakitu na inabaki empty kama ilivyotoka kiwandani, so hakuna chance ya kuricover file zako. ni file zilizo kuwa deleted ndio zinaweza kuwa recoved au zilizo liwa na virus.
Na hata ukidelete file zako kisha ujebkuformat maana yake ni kuwa ulipo format ulifuta trace zote za kukuwezesha kurecover data zako
Naombeni ujuzi wenu kuhusu hili maana kama alivyosema Zing mafundi wa kibongo kwa kuformat ndio wenyewe
Nawashukuru wana JF kwa msaada wenu mpaka nimepata mafaili yangu. Big up Michaelpaulz kwa kuokoa jahazi.Silas... Mkuu nafurahi ulifanikiwa...
peace, love & blessings...
Nawashukuru wana JF kwa msaada wenu mpaka nimepata mafaili yangu. Big up Michaelpaulz kwa kuokoa jahazi.