haha kwa nini mnamwandama bishanga jamani
Mie mwenyewe mzigo namba 5,ngoja nianze kufungasha virago...
yani mwandamu anaweza kuwa mzigo?
Nimetafakari adi jasho lantoka mie
Nimetafakari adi jasho lantoka mie
Mie mwenyewe mzigo namba 5,ngoja nianze kufungasha virago...
bado kuna thread mizigo tu humu ndani... huu uzi ni muhimu urudiwe kujadiliwa upya!