Wana jf mbona hamnijali jamani..

Wana jf mbona hamnijali jamani..

Bro una sifa tele kwenye kada yako mpaka nahisi waajiri wanaogopa kukuajiri. Tafuta chance uingie jeshi lolote kwa sifa zako hizo unaweza kuwa MTU mkubwa sana
 
Bro una sifa tele kwenye kada yako mpaka nahisi waajiri wanaogopa kukuajiri. Tafuta chance uingie jeshi lolote kwa sifa zako hizo unaweza kuwa MTU mkubwa sana
Sawa Mkuu....
 
Mwanangu una CV ndefu mpaka watu wanaogopa kukuajiri , mwajiri atakuwa anajiuliza "huyu kijana nitaitoa wapi pesa ya kumlipa kulingana na hii CV yake!!!?"

Hapana Wala Sio pesa nyingi.
 
Au muone " ONTARIO " atakupa ajira ya kujiajiri mwenyewe na utakuwa milionea muda mfupi tu.
 
dereva mwenzio nipo huku nachoma nyama ya mbuzi aina ya michopo, nalaza 80 kwa siku.
 
Back
Top Bottom