Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,775
Sasa kama unajua vyote hivyo si ujiajiri?
Bado mkuu.Kwa sifa hizo hujufungua hata stationery mkuu.
Nimejitahidi kujiajiri ila mambo yalikwama njiani sijatimiza malengo.Sasa kama unajua vyote hivyo si ujiajiri?
Napambana kwenye website, social media pia. Na hapa jamii forum kwa ajili ya key person huko watu wanakofanya Shughuli zao mbali mbalii basi akihitajika wasisite kuniambia.Kazana mkuu kutafuta ajira kwenye website za ajira. humu Jf utaambulia ushauri tu
Thanks cc yna12Utapata mkuu..Mungu ni mwema
Mungu atubariki mkuuView attachment 742171
Thanks mkuuNafasi za Kazi Field Assistant, Laboratory Technician & Driver - IITA, mwisho wa Kutuma Maomni ni Tarehe 27 April 2018Ajira portal nimeshafanya application nasubiri mchakato wao sasa......
Niko Dar-es-Salaam. Ila mkoa wowote nafika ndani ya masaa 24...Pole sana aisee....
Lakini hujasema uko mkoa gani
Kuna uzi humu ndani jamaa ana magari kumi ya uber anahitaji mtu wa kusimamia kwani amekuwa akipigwa na madereva wasio waaminifu, jitahidi kuutafuta ujaribu kuongea nae.Niko Dar-es-Salaam. Ila mkoa wowote nafika ndani ya masaa 24...
Sawa sawa Asante Sana....Kuna uzi humu ndani jamaa ana magari kumi ya uber anahitaji mtu wa kusimamia kwani amekuwa akipigwa na madereva wasio waaminifu, jitahidi kuutafuta ujaribu kuongea nae.
Kitu kizuri kwenye ule uzi niliona kuna mabosi wengine wanalalamikia uhaba wa madreva wa uber mpaka baadhi ya g ari zao kupack majumbani kwa kukosa madereva waaminifu.