Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
......
Sema tuu mimi sio KE mkuu. Ila nisaidieni pia...Ungekua KE RRondo angekupa kazi
Sawa Mkuu najitahidi pia kujifunza na kupambana na Fursa mbali mbaliii.....pole sana ndugu,kuna jamaa angu mmoja ni dreva,baada ya kuona mambo hayaeleweki,alianza kujifunza ufundi ujenzi kwa kuanza na usaidizi,hivi sasa ni fundi mzuri tu,usitegemee sehemu moja,watu huwa tunachange kulingana na mazingira
Mkuu sikuhizi waajiri wanaangalia uwezo mbali mbali. Mbali na udereva pia personal Secretary, Office Admin pia nazimudu....Sifa nyingi Sana ndio ztakuponza Kama dreva keyboard ya computer ya nn +technology?? Ngoja tuone kazi yako ipi upewe na sifa hzo
Ni kweli sikuizi waajiri wana angalia Multipurpose talented individuals. Utapata tuu.Mkuu sikuhizi waajiri wanaangalia uwezo mbali mbali. Mbali na udereva pia personal Secretary, Office Admin pia nazimudu....
Nisaidie Mkuu... Mtaniweka kwenye kipindi cha uangalizi, siwasumbui jamani.Hapana aisee wewe mwenye makabrasha mengi ivo utasumbua kampuni aisee
Mkuu nimeweka Ili mwajiri anipangie kazi atakayopenda nifanye nisaidie.Ungekuwa na vigezo vichache kidogo hapo sawa
Thank you Prinkle. Nalifanyia kaziIngia website ya ubalozi wa maerkani tz wamemwaga ajira kwa maderevaa na store keeper (us embassy)
Hivi Lemutuz nae ni dereva???Professional driver kama kaka Lemutuz... Utapata usijali
Pole sana asante pia kwa kunijali.....Pole mkuu. Nilikuwa na kampuni yangu ya kutoa huduma ya usafirishaji abiria na mizigo bahati mbaya madereva wakaua magari yoote wakaishia kunifilisi. Sasa sina hata gari moja ya biashara. Tanganzo lako nimeliona ila personally sina namna ya kukusaidia kwa sasa.