Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Kuna watu wanaleta jokes kwenye hizi ishu hebu tuwe makini I think something is going onAlianza Tatty kuaga kwa style hii hii ya sintofahama na yeye akionyesha yaliyomkuta huku JF ni mazito na inabidi akimbie sasa hiv ni huyu Bushland naye akiaga kwa style ile ile hasemi nini kimemkuta ni anakimbia kimbia tu...Nini kinawakuta hawa watu tena inaonekana maswahiba hayo yanawatokea kwa siri..
Yeleuwii uwii yeleuwiiiiJaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeleuwii uwii yeleuwiiii
Stress frustrations na lonelinessMi sishangai sana maana huyu mtu kama mmefuatilia post zake ni kwamba alikuja na post kusema
"anaachana na mmewe anataka kuwa single"
Akaona aitoshi akaja na post kusema "Nimechoshwa na mapenzi nataka kuchoma sindano yakuondoa hisia za mapenzi nataka nisiwe na hisia"
Haikuishia hapo akaja na nyingine kusema
"Leo nimetoka kuchoma sindano ya kuwa kichaa na kutokuwa na hisia za mapenzi"
Sasa jamani kwa yote hayo mnaona huyu ni mzima?
Heeee pole ndugu ndio Dunia ilivyo yatapitaJaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
mshana jr umeona bro huyu mtu atakuwa na matatizo makubwa, c ajabu akarudi keshokutwa kutuambia ile sindano imeisha makaliStress frustrations na loneliness
Acha aende tu, alichokitaka, ndicho alichokipataUmu ndani tunaweza kua tuna member majini aseee maana mtu anakurupuka tu mpaka unajiuliza katumia nini kufikiri.
Pole sana kwa yaliyokukuta. Tujuze tukupe msaada wa kimawazo katika kipindi hiki kigumu unachopitia...Jaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
wenu na nani?Pole mpenzi wetu pole sana