ccm kesho wataficha sura zao msalani
Utadhani mkesha wa mwaka mpya..........Sijui JK huko alipo yu katika Hali gani?
Waliofisadi ndo wataficha sura siyo CCM. CCM haihusiki. Na bila wabunge wa CCM waliovalia ufisadi huu bungeni UKAWA peke yao hawawezi kulivusha. Namba haitoshi.
kwa sie wabongo tuliowakimbia mafisadi na kuishi huku ughaibuni tutapate matangazo live? anaejua atujuze!
ila wananchi wanahitaji nao kujiandaa kwa maandamano kudai chao iwapo hila zitafanyika kama kawaida ya mafisadi kuhamisha mada wakati akaunti zinasoma live mabilioni!!
kwa hiyo Muhongo ,werema ,nao hao wengine ni wabunge wa chama ganiWaliofisadi ndo wataficha sura siyo CCM. CCM haihusiki. Na bila wabunge wa CCM waliovalia ufisadi huu bungeni UKAWA peke yao hawawezi kulivusha. Namba haitoshi.
Anakula bata hana wasi wasi ni upepo tu utapita.....