Wana JF, Karibuni kwenye Mkesha wa Escrow...

Wana JF, Karibuni kwenye Mkesha wa Escrow...

Sijui kwa kweli..!! MGAO HUU WAMEMEGA WATU WENGI,MAARUFU AMBAO HUWEZI AMINI..
 
Wenye kujua ratiba za bunge hivi kesho asubuhi wanaanza na maswali na majibu au ni moja kwa moja kwenye escrow report? Tupeane taarifa tufungulie TV mapema

Kesho baada ya kipindi cha maswali na majibu, mzigo wa Escrow utakuwa hewani.
 
Kesho ishallah mungu akujalia escrow haitajadiliwa bungeni mtaona nyinyi mnashangilia kwani nyie ndo mloibiwa?
 
Nipo na mama hatulali kumacho,tunateleza na mlenda wa bara pwani kuna mchuzi wa escrow,magogoni hapakaliki paka yu hoi kitandani panya wamejivika magwanda. Lindoni hakuna utulivu tatizo wanawaza tetele!.
 
kesho ishallah mungu akujalia escrow haitajadiliwa bungeni mtaona nyinyi mnashangilia kwani nyie ndo mloibiwa?

nitalaani uzao wangu ukiwa na roho yenye tabia na mienendo kama ya kwak....o,
 
tegemea makubwa sana siku ya kesho maana chochote kinaweza kutookea...tanzania kwa matukio tuu halafu na kuyazima ni dakika tuu
 
kwa igizo linaloendelea....sijipi matumaini sana.

Hata mimi sioni mwanga, naona giza tupu, maana mikakati inayofanywa in a team work kutetea wezi na maharamia haiakisi maneno ya spika
 

Attachments

  • 1416948261650.jpg
    1416948261650.jpg
    44.8 KB · Views: 211
Options zote za kuzuia mjadala zimegonga mwamba.....sasa cjui wanafikiri nini kwamaana kwasasa zimebaki dk 15 tuu iingie cku ya j5 cku ya kuandika historia katika bunge letu tukufu
 
Bahati mbaya sana hakutakuwa na Umeme nchi nzima! Mnakumbuka kauli ya PM kwamba MAFISADI wakishughulikiwa nchi itayumba?...
 
Nimechoka sana kusubiri, just want it to be fast, mimi nataka nianze na Werema.
 
Tunaomba radhi jf haitakua hewani kesho kwa masaa 24 kwa matatizo yaliyo nje ya uwezo wetu
......natania tu.....

weeeeeeh thubuuuuutu tutatoana roho mchana kweupe hahahahahah hiki ndo chombo pekee kinachoaminika huko kwingine mipasho na taarabu tupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom