Mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua...
(1) pasipo tundu lisu masuala ya sheria ndani ya bunge ni magumu
(2) zito kabwe ana akili sana
(3) mwigulu mchemba kazaliwa upya,ila hafai kuwa Raisi kwani ataitumbukiza nchi matatizoni, anakurupuka sana.
(4) mizengo pinda urais atausikia kwenye vyombo vya habari tu
(5) wanawake wengi walioteuliwa kwa viti maalumu hawastahili ata kufundisha watoto wa nusery
(6) zungu anafaa kuwa spika wa bunge lijalo
(7) hawa ghasia kiakili amezidiwa mno na mahouse girl wengi
(8) tunawahitaji watu wa aina ya kafulila kama kumi hivi
(9) ole sendeka anafaa kuwa mwenyekiti wa ccm taifa
(10) andrew chenge ni fisadi lililokubuu halina ata chembe ya huruma na rasilimali za taifa
(11) muhongo ni muongo kwelikweli, tusomeshe watoto wetu vinginevyo watazidiwa maharifa na watoto wa akina muhongo
(12) ukiangalia mgao wa pesa, utaona kuwa: Muhaya akija kuwa rais wa nchi ni hatari kubwa kwa taifa
(13) mama tibaijuka ni mtu anayetumia matatizo ya watu kwa manufaa yake, usishangae kusikia anaomba misaada kwa wahisani kwa ajili ya tumbo lake..
(14) ngeleja ni ngeleja kweli kweli kwa deal, alizipataje pesa hizi zilizowahusisha wahaya? Kumbe mda mwingine ukitoa deal nawe unapewa deal
(15) tusijisahau sana kwa viongozi wa dini, vile viapo vyao watakufa wakiwa mafukara siyo kweli kwa dunia ya sasa
........hili limefungwa tunasubiri kijacho kutoka kwenye project ya gas kutoka mtwara kwenda bagamoyo....
 
Hawa Ghasia anadhalilisha sana Baraza la Mawaziri.Watanzania wengi na hasa wana CCM wanajiuliza ilikuwaje aingiekwenye baraza la Mawaziri ijapokuwa katibu Mkuu alishamuweka kwenye Kundi la Mawaziri mizigo.
 
Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani bungeni kwa maslahi ya Taifa. Wabunge wengi wa ccm ni mabogus hawafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi.
Ni macho yangu au.Mkuu kama ni wewe hongera sana kwa kuuona ukweli huwa tunalalamika na hawa watu sababu wanalifilisi Taifa ifike mahari hawa watu wajue tumewachoka na mipango yao miovu ya kuwalinda wezi.Mkuu Msalani isije kuwa hili sakata limekwisha tunakuona unawatetea hawa majizi tena
 
mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua...
(1) pasipo tundu lisu masuala ya sheria ndani ya bunge ni magumu
(2) zito kabwe ana akili sana
(3) mwigulu mchemba kazaliwa upya,ila hafai kuwa Raisi kwani ataitumbukiza nchi matatizoni, anakurupuka sana.
(4) mizengo pinda urais atausikia kwenye vyombo vya habari tu
(5) wanawake wengi walioteuliwa kwa viti maalumu hawastahili ata kufundisha watoto wa nusery
(6) zungu anafaa kuwa spika wa bunge lijalo
(7) hawa ghasia kiakili amezidiwa mno na mahouse girl wengi
(8) tunawahitaji watu wa aina ya kafulila kama kumi hivi
(9) ole sendeka anafaa kuwa mwenyekiti wa ccm taifa
(10) andrew chenge ni fisadi lililokubuu halina ata chembe ya huruma na rasilimali za taifa
(11) muhongo ni muongo kwelikweli, tusomeshe watoto wetu vinginevyo watazidiwa maharifa na watoto wa akina muhongo
(12) ukiangalia mgao wa pesa, utaona kuwa: Muhaya akija kuwa rais wa nchi ni hatari kubwa kwa taifa
(13) mama tibaijuka ni mtu anayetumia matatizo ya watu kwa manufaa yake, usishangae kusikia anaomba misaada kwa wahisani kwa ajili ya tumbo lake..
(14) ngeleja ni ngeleja kweli kweli kwa deal, alizipataje pesa hizi zilizowahusisha wahaya? Kumbe mda mwingine ukitoa deal nawe unapewa deal
(15) tusijisahau sana kwa viongozi wa dini, vile viapo vyao watakufa wakiwa mafukara siyo kweli kwa dunia ya sasa
........hili limefungwa tunasubiri kijacho kutoka kwenye project ya gas kutoka mtwara kwenda bagamoyo....

Mada yako ni nzuri lkn ni vizuri kuepuka ukabila au ubaguzi wa aina yoyote unapowasilisha issue ambayo ni serious. Mwisho umeonekana sio mtu makini, mtu makini hawezi kugeneralize issues kwa tukio moja.
 
Hawa Ghasia anadhalilisha sana Baraza la Mawaziri.Watanzania wengi na hasa wana CCM wanajiuliza ilikuwaje aingiekwenye baraza la Mawaziri ijapokuwa katibu Mkuu alishamuweka kwenye Kundi la Mawaziri mizigo.

Kitendo cha CCM kuchagua wabunge semi-illiterate kuchangia kwenye huu mjadala kimeiabisha sana CCM, na watu wanaweza kutafsiri kama dharau/dhihaka kwa watanzania. Hivi ni kweli CCM hakuna wabunge wenye uwezo zaidi ya Lucinde, Assumpta Mshana, au Chamboh? Hawa watu wameiabisha Tanzania sana.
 
Kama sio busara za Mbowe kusimamisha mjadala na kupelekea maazimio ya awali kufutwa,bila shaka wabunge wa CCM wangepigwa mawe huku uraiani.
 
Good Presentation!

mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua...
(1) pasipo tundu lisu masuala ya sheria ndani ya bunge ni magumu
(2) zito kabwe ana akili sana
(3) mwigulu mchemba kazaliwa upya,ila hafai kuwa Raisi kwani ataitumbukiza nchi matatizoni, anakurupuka sana.
(4) mizengo pinda urais atausikia kwenye vyombo vya habari tu
(5) wanawake wengi walioteuliwa kwa viti maalumu hawastahili ata kufundisha watoto wa nusery
(6) zungu anafaa kuwa spika wa bunge lijalo
(7) hawa ghasia kiakili amezidiwa mno na mahouse girl wengi
(8) tunawahitaji watu wa aina ya kafulila kama kumi hivi
(9) ole sendeka anafaa kuwa mwenyekiti wa ccm taifa
(10) andrew chenge ni fisadi lililokubuu halina ata chembe ya huruma na rasilimali za taifa
(11) muhongo ni muongo kwelikweli, tusomeshe watoto wetu vinginevyo watazidiwa maharifa na watoto wa akina muhongo
(12) ukiangalia mgao wa pesa, utaona kuwa: Muhaya akija kuwa rais wa nchi ni hatari kubwa kwa taifa
(13) mama tibaijuka ni mtu anayetumia matatizo ya watu kwa manufaa yake, usishangae kusikia anaomba misaada kwa wahisani kwa ajili ya tumbo lake..
(14) ngeleja ni ngeleja kweli kweli kwa deal, alizipataje pesa hizi zilizowahusisha wahaya? Kumbe mda mwingine ukitoa deal nawe unapewa deal
(15) tusijisahau sana kwa viongozi wa dini, vile viapo vyao watakufa wakiwa mafukara siyo kweli kwa dunia ya sasa
........hili limefungwa tunasubiri kijacho kutoka kwenye project ya gas kutoka mtwara kwenda bagamoyo....
 
Licha ya kua umekopi kutoka kwa edo kumwembe ila hongera kwa ubunifu wa kuongeza mbwembwe.
 
Attachments

  • 1417356275205.jpg
    1417356275205.jpg
    42.3 KB · Views: 1,088
mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua...
(1) pasipo tundu lisu masuala ya sheria ndani ya bunge ni magumu
(2) zito kabwe ana akili sana
(3) mwigulu mchemba kazaliwa upya,ila hafai kuwa Raisi kwani ataitumbukiza nchi matatizoni, anakurupuka sana.
(4) mizengo pinda urais atausikia kwenye vyombo vya habari tu
(5) wanawake wengi walioteuliwa kwa viti maalumu hawastahili ata kufundisha watoto wa nusery
(6) zungu anafaa kuwa spika wa bunge lijalo
(7) hawa ghasia kiakili amezidiwa mno na mahouse girl wengi
(8) tunawahitaji watu wa aina ya kafulila kama kumi hivi
(9) ole sendeka anafaa kuwa mwenyekiti wa ccm taifa
(10) andrew chenge ni fisadi lililokubuu halina ata chembe ya huruma na rasilimali za taifa
(11) muhongo ni muongo kwelikweli, tusomeshe watoto wetu vinginevyo watazidiwa maharifa na watoto wa akina muhongo
(12) ukiangalia mgao wa pesa, utaona kuwa: Muhaya akija kuwa rais wa nchi ni hatari kubwa kwa taifa
(13) mama tibaijuka ni mtu anayetumia matatizo ya watu kwa manufaa yake, usishangae kusikia anaomba misaada kwa wahisani kwa ajili ya tumbo lake..
(14) ngeleja ni ngeleja kweli kweli kwa
Kafulila ni mwanzo na mwisho hakuna mwingine
 
Katika kusoma post nisikutana na hili swala la maaskofu. Mchangiaji mmoja aliandika mengi lakini kati ya point zake moja lilisema na linasema “tusijisahau sana kwa viongozi wa dini, vile viapo vyao watakufa wakiwa mafukara siyo kweli kwa dunia ya sasa”

Mimi nataka kukupa taarifa-haswa kwenye hii point yako ya kiapo cha umasikini kwa watumishi wa Mungu. Hakuna mahali kwenye Neno la Mungu linalo sema watumishi wake wawe masikini in fact amewaahidi baraka mara mia hapa ni kisha Mbinguni ila ameonya kwa wao na wengine wote wenye kumuamini kutopenda pesa. Anasema, the love of money is the root of all evil. Hii kiapo cha umaskini ni kiapo ambacho wa dini kama wakatoliki wamejiwekea in the effort yakujaribu kuiepuka hii tamaa. Hata hivyo ukiangalia ki ukweli sijaona padre au askofu anayeishi kwa umaskini, kama unabisha nenda kaangalie wanako ka na wanchokula. Pia wanachobtembelea. Hakika wanaishi vizuri kuliko watu wengi.

Kwa hili la escrow naogopa kuwahukumu kwa hili kwani watu wengi hutoa pesa na misaada mingi kanisani kwa ajili yabshughuli za kanisa sithani wachungaji wanaweza kujua pesa zote zimetoka wapi. Mungu pekee anajua nana katoa nini je ni pesa haramu mbele zake au la.

NI MAONI YANGU KUWA NI VYEMA KUTO WA HUKUMU WATUMISHI WA MUNGU.
 
...Pinda ni Waziri Mkuu dhaifu kuliko yeyote aliyewahi kutokea!

...Pinda hawezi amuua jambo lolote labda masuala ya ufugaji wa nyuki!

....Bunge linaweza fanya kazi usiku!
....Kunapokuwa na kutautiana kukubwa haiwezekani kukubaliana wakati TV zinatangaza live.

.... Yapo mengi yanapita kwa hisia bungeni
....Trust nchini iko chini sana!!!!
 
Back
Top Bottom