namkumbuka sana ndugu yangu mswahili....sijui na hivi kuna reccession ulaya atakuwa wapi...maana mashamba ya matunda [cherries]...yanayobeba wenzangu na mie wengi kupiga box ..nadhani na yenyewe yatakuwa yamekumbwa na mtikisiko....
najuwa ahaibuka tu!!.........mswahili upo wapi mtaniiii..jamaa yako nungwi ..yupo...tatizo ni wewe!! huonekani..