MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,660
Hali si hali ni balaa tupu kama unavyo ona wana CCM wanasema ni JK pekee na kule Bunge linasema ni huyu jamaa pekee na security nk wanasema lazima jamaa awe yeye .Naangalia tu sasa
sipo si hayupo
- Ni muda sasa sijawaona members wafuatao yaani:-
1. Wild Card, 2. Ze-Marcopolo, na 3. Jamco-za,
- Unajua michango yao huwa safi sana vipi mpo wakuu? Rudini wakuu mnahitajika hapa JF!
Respect.
FMES!
Tuko pamoja wakuu, tuendeleze libeneke.
Tuko pamoja wakuu, tuendeleze libeneke.
Mimi nipo sana ila lately JF ilivamiwa na boom la habari za Rostam na Mengi, hizi huwa siziwezi kuchangia. Huwa nazisoma tu. Jamvi hili hatuwezi kulitupa. Btw, tusisahau kuwakilisha michango yetu kwa ajili ya JF.
Mkuu, kama hutajali swali langu, hebu tumegee sababu zako za kushindwa kuchangia katika mijadala kuhusu habari za hao jamaa ambazo hivi karibuni ziliitikisa serikali ya Tanzania.
Tusimsahau Mugongo Mugongo siku nyingi hajachangia lakini makombora yake tunayakumbuka! Mkuu rudi kundini!- Ni muda sasa sijawaona members wafuatao yaani:-
1. Wild Card, 2. Ze-Marcopolo, na 3. Jamco-za,
- Unajua michango yao huwa safi sana vipi mpo wakuu? Rudini wakuu mnahitajika hapa JF!
Respect.
FMES!