wana jf/chitchat ambao wako dubai tutafutane

wana jf/chitchat ambao wako dubai tutafutane

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Tule
Tunywe
Tuongee
Tufurahi


Mwisho wa siku....
Kila mtu analipa bili yake......
Niko hilton hotel mpaka pasaka


Hivi mange kimambi bado yuko dubai?
 
Nilivyoongea nae jana still yet ako Dubai, na wakati wowote anajifungua! Miezi 9 ishapita.
Amemimbishwa na Bro wangu, nikupe Contact za braza au?
 
C.T.U siku hizi nawe umekuwa mwana CC...
 
Last edited by a moderator:
hivi kupost chitchat ndio umekuwa mwana chitchat?

Jaribu kurudia heading ya bandiko lako, halafu jiulize umetumia nafsi ya ngapi kwenye kitenzi "tafuta".
Nadhani utanielewa mkuu kwa nini nimekuuliza hivyo.
 
Mbona ukiwa ushongo hutuambii tutafutane?
 
Nilivyoongea nae jana still yet ako Dubai, na wakati wowote anajifungua! Miezi 9 ishapita.
Amemimbishwa na Bro wangu, nikupe Contact za braza au?

hahaha unataka kudondoshea mchanga kwenye kitumbua....?
 
hahaha unataka kudondoshea mchanga kwenye kitumbua....?

Mirusho at works! Katoa post yake tangia jana usiku, hadi leo 24hrs past already, hajareply comment yangu! Huyu sio mzushi?
 
Back
Top Bottom