Wana-JamiiForums hebu tuheshimiane

Wana-JamiiForums hebu tuheshimiane

kusaidiana kulikuwepo humu ila toka 'mzee wa assist' ayatimbange watu wamekuwa waoga sana labda kwa very close friends.
 
Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .

Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
sema tu tatizo ni umaskini au hali ngumu ya maisha?

sema tu, niambie nijue
 
Unataka mawazo na kusaidiana MMU? Nenda jukwaa la kilimo kuna konection za mbalali
 
Back
Top Bottom