Wana-JA niokoeni nitoke mnipe connection.

Abti

Senior Member
Joined
Feb 27, 2025
Posts
101
Reaction score
182
Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana jukwaa hili lina nguvu sana kama mdogo wenu, kijana mwenzenu na kijana wenu nipo hapa kama tittle inavyojieleza nipate sehemu ya kujishikiza ili kupata namna yakusongesha maisha.

Elimu ipo na uzoefu kwenye nyanja tofaut tofaut ila mifumo haijakubali bado na majukumu yapo nikiwa kama kijana na baba wa mtoto mmoja naombeni connection zenu kijana wenu nisije nikadata.

Kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo:

1.Assistant Community Development officer (CDO)
2.Administration Officer
3.Assistant HR
4.Store keeper (Whare house)
5.Mjasiriliamali

Kubwa zaid na uwezo wakumaster vitu kwa haraka na ufanisi mkubwa kwenye nyanja zinazofanana na hizo pia..nikipata kazi yako naifanya kwa ufasaha unakua umemtuma baba sokoni na sio mtoto sokoni.
Kwa mtu yoyote mweny connection anaweza nisogeza asanteni.

Jinsia: Me
Umri: 28
Mahali sasa: Dar es Salaam
Shukran za dhati kwenu
Kazi ni kipimo cha Utu.
 
Umejieleza ipasavyo na inaonekata una uhitaji, na imani MUNGU atakufanyia njia.
 
Tatizo apo fani nyingi uwezi kuwa 1.Assistant Community Development officer (CDO)
2.Administration Officer
3.Assistant HR

Ni vitu aviingiliani ni unatudanganya jiunge ajila portal uko utazama serikalini....

Pia tembelea LinkedIn na sambaza cv ila usiweke kazi zote izo company zinazojielewa zitakutema mapema maana we ni muongo.....
Good luck 🤞 🤞
 
Back
Top Bottom