Wana Gangilonga mpo?

na baada ya kufaulu shule hizo unaenda lugalo.....nimepita sana kilima cha ndiuka miaka ya tisini
 
Mkubwa mm nilikuiwa enzi za balankena dule kisent na dhabihu au mwl hasani mwl haule, bonzo, myonga, mlimbila mfilinge na wengine wengi nimetoka 1990 mkubwa umenikumbusha mbali sana class met abeautifull asimwe bashagi zena amuri, lizy mfilinge, roda mtweve wagumu lukas kambanyuma, elton mgogolwa heri sanga mdogo wa mariedo wa iringa na wengine wengi big up man
 
Huyo mtoto asimwe ni kitu mpaka leo hachuji namkuta sana mitaa ya mlimani city sijui akina zena wapo wapi?
 
Kuna Post nimeandika kuwa yupo SERENA Dar HOTEL(MOVEN~PICK Dar ya zamani...) ni Sales executive... Pia kulikuwa na Yvonne Mgonja Mtoto wa Mwalimu mkuu wa zamani Iringa girls...
BTW... Mkanyila ni jina la kike... na wewe ni me... au unamuenzi bibi/Mama yako???
 
E bwana mmenikumbusha mbali sana! Mimi nilikuwa class of 1986 nikiwa na kina Godfrey Mbwilo (Godi Gangwe), Katuye Ndabagoye, Diana Myonga, Shida Hinju (Kaka yake na Vedasto), Nancy Mawelle, Loyce Tweve(RIP), Raphael Panga, Tanzua Tambi, Josephine Salmanus(mtoto wa Kigiriki), Ziada Sadiki na wengine nimewasahau. Those were good days!

Godi Gangwe yupo kwa mkemia mkuu
 
Duh memories.... Nimsoma na Wende form 1 ya Lugalo kabla hajahama na tulikuwa tukiishi jilani those old gud days sijui yupo wapi cku hizi?
 
Mdogo wake eteriche,lois nae marehemu.tusker ulimaliza mwaka gani?
 
Chodota alikuwa hacheki.alikuwa mtaalamu wa viboko
 
E bwana mmenikumbusha mbali sana! Mimi nilikuwa class of 1986 nikiwa na kina Godfrey Mbwilo (Godi Gangwe), Katuye Ndabagoye, Diana Myonga, Shida Hinju (Kaka yake na Vedasto), Nancy Mawelle, Loyce Tweve(RIP), Raphael Panga, Tanzua Tambi, Josephine Salmanus(mtoto wa Kigiriki), Ziada Sadiki na wengine nimewasahau. Those were good days!

Godi Gangwe yupo kwa mkemia mkuu

Duuuh nilidhani angekuwa PILOT... Duuh...
 
Mdogo wake eteriche,lois nae marehemu.tusker ulimaliza mwaka gani?

Class yangu ilimaliza 1987... ila mimi nilihama 1986... ila kwakuwa nilikuwa nao tangu 1983 nilikuwa nao lazima nijitaje miongoni mwao maana ilikuwa Sept 1986 Maskini Esteriche hivi ukoo wao ulikuwa ni upi???
 
Mkubwa mm nilikuiwa enzi za balankena dule kisent na dhabihu au mwl hasani mwl haule, bonzo, myonga, mlimbila mfilinge na wengine wengi nimetoka 1990 mkubwa umenikumbusha mbali sana class met abeautifull asimwe bashagi zena amuri, lizy mfilinge, roda mtweve wagumu lukas kambanyuma, elton mgogolwa heri sanga mdogo wa mariedo wa iringa na wengine wengi big up man

Kisenti jamani alikuwa Bwana mdogo ila jina lake lilikuwa GUMZO SAAANA si wajua tena enzi hizo mambo yalikuwa ya Shilingi 1 na senti ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom