wana chit chat kuna mgen hapa....

wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi?
angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi

Marakhaba jamani.
Nyumbani wazima wote maana naona umeingia na Basi la Usiku.
 
Mwalimu wa hommie wangu Kaizer hebu mwambie huyu mgeni a-come this way kabla sijamtumia mgambo. Sina kumbukumbu kama nishawahi kumkagua....


Hajawah kukaguliwa.
Ila :gossip: kuwa kisa cha kukataa kukaguliwa eti anaogopa mta eep: maungo yake matam.

Asprin hebu m2mie wagambo waje.
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty asante kwa kunifagilia shost angu wa ukweli kumbe wanipendaga eee! senkyuuu saaaana... Emecka ucjali mpnz tupo pa1 km vp tutakuadd. . .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…