wana chit chat kuna mgen hapa....

Emecka

Member
Jul 17, 2012
75
27
wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi?
angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi
 
Ohooo! Kumbe ni wewe Emecka? karibu sana mgeni...karibu hadi ndani jisikie kama upo bafuni.
 
Last edited by a moderator:
wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi?
angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi

Karibu mgeni, jisikie uko nyumbani sebuleNI.
 
wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi?
angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi

Emecka wa udsm yuleee! Wakati nipo first year nlimsikia huyu shujaa wa udsm aliyeapanda mbegu ya haki na uwajibikaji pale udsm.KARIBU KAKA.
 
We mgeni kweli wewe?

ndio,mie mgeni mwenyeji kwani tangu mwaka 2010 nilikuwa natembelea jamii forum lakini sikuwa member na ni mhudhuriaji mzuri couz kila siku huwaga napita hapa japo kwa dakika chache.
 
Back
Top Bottom