Wana Chit Chat acheni hizoooo!!

Wana Chit Chat acheni hizoooo!!

Rich woman nyie jana si mlikua mna tetea haya ma thread yasio na kichwa wala tumbo. Ukweli jukwaa linapoteza utamu, kuna kipindi unaingia CC unajikuta huna hata cha ku comment kutoka na kujaa mi thread upumbavu kama hii
manoah ati nini kinaendelea hapa maana naona yaleyale ya jana tena kama leo yamezidi
 
Last edited by a moderator:
Rich woman hata kama ni CC kwani lazima kila mtu apost kitu humu, hata kama CC viumbe mji lekebishe muache utahira.
 
Last edited by a moderator:
Rich woman hata kama ni CC kwani lazima kila mtu apost kitu humu, hata kama CC viumbe mji lekebishe muache utahira.

Rafiki yangu manoah kwanza punguza munkari pia kumbuka mimi jana sikutetea ila nilikuombea kila la kheri katika kuwaonya watu na thread kama hizi kiukweli jukwaa linapoteza ladha kabisa sijui labda aje babu kifimbo cheza....pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
jamani eeeeh kama unaona inakukera ,na hii mada inakera kweli kwa wale wakereketwa na wafurukutwa usicomment chochote kuendelea kucomment ni kuipa uhai hii mada ingekuwa na ziro comment isingekuwepo hapa ingesha expry zamani ingekuwa page ya pili na kama sio ya tatu kabisa.kuendelea kucomment ni kumpa credit za bure huyu mnaomtaka aende mirembe.MSIJAZE MASUSU KWA MAMBO YASIYOWAHUSU.
 
Heheheee...mie simo!!
 
Heheheee...mie simo!!

umo kwa kuwa ni mwana cc,kwani we haikukeri ? kwa mawazo ya mimi:USINIQUOTE,USIMQUOTE MTU YEYOTE KWENYE HUU UZI,USICOMMENT apatikane mtu aanzishe mada nyingine au hata ile ya manoah tuendeleze majadiliano huko na sio hapa.kuendeleza hapa ni kuiweka front page hii mada,cc oyeee!wana cc oyeee!
 
Last edited by a moderator:
amu hatari usiguse wala kusogea eneo hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom