Toameni meno na macho sisi tutaendelea kuyaamini haya maneno ya kada mwenzenu wa pwani.Huo ni unafiki, Miongozo ya Uchaguzi CCM iko wazi, yeyote anayetafuta uongozi kwa kutumia utajiri wake, hukatwa. Dkt alijenga CCM imara na yenye nidhamu kuliko katibu mkuu yeyote.aliyewahi kutokea CCM. Sasa chama kimerudi mikononi mwa wapiga dili, subiri uone matokeo yake
Najua aliyemtuma huyu kuzungumza. Kweli binadamu anayeitwa mwanasiasa wa Tanzania ni mnafiki.Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Na yeye akamshangilia sana na kumsifu kwa nyimboUsimuonee Bashiru.
Kwa masikio tulimsikia aliyekuwa Mwenyekiti akiwaambia watia nia,"Mim ndio Mwenyekiti, siku hiyo nikiamka vibaya sipitishi jina ata kama umepita kwa kula nyingi.
Shauri yako.Umesoma vizuri hiyo thread au umekimbilia kumtetea Bashiru?
Amekutuma au?Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Wewe hangaika na Saccos ya Chadema achana na chama dume utaaibika tu huko mbeleni!! Chezea chama dola wewe!Na vigere gere kabisa
Hangaika na Saccos yako yenye Mwenyekiti wa maisha Faru JohnTunaposema kuwa Magu alikuwa dhalimu kuna watu walikuwa wanabisha. Aliyoyafanya Magu kwenye demokrasia ya nchi hii ni ushenzi wa hali ya juu. Watu wako kimya lakini yule mtu alikuwa ni shetani mkubwa.
Njaa imetuharibia wasomi wetu, wanaweka taaluma pembeni na kutanguliza matumbo yaoHivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
Hizo shutuma kazitoa mwana ccm mwenzako baada ya kucjoshwa na mambo yaliyofanyika chini ya awamu ya 5.SEMENI TUUU KWAMBA NYIE MAKANJANJA YA HAPO UFIPANI NDO MNAHANGAIKA BILA KULALA MKIDHANI CHAMA DUME CCM KITABABAIKAA. MNATUNGA PROPAGANDA WENYEWEE HALAFU MNAJIPOST WENYEWEE. MTAPATA TAABU SAAANAA.
Hangaika na Saccos yako yenye Mwenyekiti wa maisha Faru John
Wewe fala tu unafikiri utarudi tena kwenye kuuza madawa? Sahau kabisa jaribu tukuone ujue kama Serikali ya Magu ipo ama la! Wenzako wamejaribu huku Lindi umesikia kilichowakuta? Kuuza madawa hapa TZ sasa ni ndoto hutaweza mkuu!!Siingelei mambo ya Ccm hapa, bali naongelea yule dhalimu toka ccm alivyobaka demokrasia ya nchi yetu.
Hatuna mwanaccm wa hivyooo. Hao nimakanjanja wenu wa ufipanii. Basi chukueniii huyo hapo agombee kwenye chama chenuu kama anakubalika.Hizo shutuma kazitoa mwana ccm mwenzako baada ya kucjoshwa na mambo yaliyofanyika chini ya awamu ya 5.
Sisi ni wapiga ngoma na huku tukipata castle light bariiidi wakati nyinyi mnaparulana.