Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

Ukweli wanaouongea sasa, ungekuwa na impact sana nyakati zile. Kwasasa tunawaona wanafki tu.

Nakubaliana na wewe ila mkuu waungwana si walisema - heri ya nusu shari lakini?

Hivi kwani hata kama SSH angeamua kumkomalia Jiwe hata na manyanga akabwaga bado ingesaidia nini?

Wacha wahanga wa awamu ile wa ndani na nje wafunguke mwanakwetu, awamu ile ya dhuluma mbona haipo tena?

Hiiiiii bagosha!
 
Tunaposema kuwa Magu alikuwa dhalimu kuna watu walikuwa wanabisha. Aliyoyafanya Magu kwenye demokrasia ya nchi hii ni ushenzi wa hali ya juu. Watu wako kimya lakini yule mtu alikuwa ni shetani mkubwa.

Shetani mana yake Nini. Who are you. Embu Tuambie kidogo kuhusu wewe tukupime. Mana unaongea kuhusu marehemu na Ndo Hapo tunaanza kujua wewe ndo the Devil Original. Ila tusaidie kidogo ili tukujue Kama Ni 97 au 99 % ya ushetani wako.
 
Funguka mwanawane ....! Halafu kuna mapimbi yanasema ccm ni moja... Ni moja ipi my foot!
 
Tunaposema kuwa Magu alikuwa dhalimu kuna watu walikuwa wanabisha. Aliyoyafanya Magu kwenye demokrasia ya nchi hii ni ushenzi wa hali ya juu. Watu wako kimya lakini yule mtu alikuwa ni shetani mkubwa.
naunga mkono hoja ,yule mbwa natamani afe kila siku
 
Utakuwa ww ni bonge la duwanzi fulani, huku ni mitandaoni na sio ofisi ya cdm. Hapa mwanasiasa yoyote na chama chochote kinajadiliwa kwa lolote na vyovyote. Naona umeokota maneno ya lile jizee tapeli la siasa ndio unakuja kutujazia server hapa. Kama usipokuwa mwanaharakati ndio unachukua dola, mbona yeye hakuchukua, au na yeye alikuwa mwanaharakati.
 
Shetani mana yake Nini. Who are you. Embu Tuambie kidogo kuhusu wewe tukupime. Mana unaongea kuhusu marehemu na Ndo Hapo tunaanza kujua wewe ndo the Devil Original. Ila tusaidie kidogo ili tukujue Kama Ni 97 au 99 % ya ushetani wako.

Alikuwa shetani na dhalimu mkubwa, hutaki meza sumu.
 
Kitendo cha kukata jina la Mtemi Chenge, aka Hola la makengeza na Ngereja kiliniuma Sana! Au nasema uongo?
 
Ilikuwaje akapanda kuwa KMK?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ungelikuwa unafanya analysis jadidi ungelijua kuwa hao Wasukuma bado wako kibao na hawaondoki leo wala kesho!
Kawaida ukitaka kuukata mti mkubwa unaanza kukata tawi moja moja na tumeshaanza kuwang'oa mtakwisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…