Kikatiba Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa, kwanini afutwe kazi kwa mambo ya CCM?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,404
Naomba Wanasheria wa hapa Jf mnieleweshe , hii inakuwaje ? DC ni cheo cha kusaidia serikali , inawezekanaje kufutwa kazi kwa sababu kuna wanaccm wamerudisha kadi za Chama ?

Chama cha siasa huwa kinaruhusiwa kuwa na viongozi wake wa Wilaya , akiwemo Mwenyekiti na Katibu , hawa ndio wanaotakiwa kuwajibishwa kwa Masuala ya Chama chao , Why DC ?

Naomba maneno yasiwe mengi , kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ( japo ni mbovu ) , Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa ?
 
Naomba maneno yasiwe mengi , kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ( japo ni mbovu ) , Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi ?
Kamsikilize mama Samia Suluhu vizuri alipowatumbuwa katowa sababu.
 
Naomba Wanasheria wa hapa Jf mnieleweshe , hii inakuwaje ? DC ni cheo cha kusaidia serikali , inawezekanaje kufutwa kazi kwa sababu kuna wanaccm wamerudisha kadi za Chama ?

Chama cha siasa huwa kinaruhusiwa kuwa na viongozi wake wa Wilaya , akiwemo Mwenyekiti na Katibu , hawa ndio wanaotakiwa kuwajibishwa kwa Masuala ya Chama chao , Why DC ?

Naomba maneno yasiwe mengi , kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ( japo ni mbovu ) , Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa ?
kumweka mtu Kizuizini kwa masaa 48 aneyehofia kuvunja amani
Kwa niaba ya mkuu wa mkoa anashughurikia Leseni za Vileo na Leseni za madawa na Sumu
Kwa niaba ya mkuu wa mkoa anateuwa wakaguzi wa Magereza
Kwa niaba ya mkuu wa mkoa anashughurikia kesi za kichwani
Kuwa mhimili msaidizi wa Halmashauri
Kusimamia kamati zote za Halmashauri
Kuuzuria kamati za ushauri za mkoa
kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
kuziwekea halmashauri mazingira safi Ili ziweze kutekeleza sera ya serekali
Kutekeleza majukumu yote atakavyo kamisiwa na mkuu wa mkoa
 
Nilivyoelewa, wamefutwa kazi kwa kuhamisha miradi. Inawezekana kwenye kuhamisha miradi hiyo, hawakufuata utaratibu wa kuhamisha miradi.
 
kumweka mtu Kizuizini kwa masaa 48 aneyehofia kuvunja amani
Kwa niaba ya mkuu wa mkoa anashughurikia Leseni za Vileo na Leseni za madawa na Sumu
Kwa niaba ya mkuu wa mkoa anateuwa wakaguzi wa Magereza
Kwa niaba ya mkuu wa mkoa anashughurikia kesi za kichwani
Kuwa mhimili msaidizi wa Halmashauri
Kusimamia kamati zote za Halmashauri
Kuuzuria kamati za ushauri za mkoa
kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
kuziwekea halmashauri mazingira safi Ili ziweze kutekeleza sera ya serekali
Kutekeleza majukumu yote atakavyo kamisiwa na mkuu wa mkoa
Hawafanyi hivyo hata kidogo wapo kama madalali tu
 
Naomba Wanasheria wa hapa Jf mnieleweshe , hii inakuwaje ? DC ni cheo cha kusaidia serikali , inawezekanaje kufutwa kazi kwa sababu kuna wanaccm wamerudisha kadi za Chama ?

Chama cha siasa huwa kinaruhusiwa kuwa na viongozi wake wa Wilaya , akiwemo Mwenyekiti na Katibu , hawa ndio wanaotakiwa kuwajibishwa kwa Masuala ya Chama chao , Why DC ?

Naomba maneno yasiwe mengi , kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ( japo ni mbovu ) , Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa ?
Erythrocyte acha watu wazike watu wao... Watumbuane sijui Nini sisi tuhangaike na Bandari yetu, Misitu yetu na Maliasili zetu
 
Ninachojua DC huwa ni kamisaa wa Chama Tawala, kwahiyo kamati za Siasa za Wilaya au Mkoa zinapokaa huyo DC na RC hugeuka kuwa link ya kupokea maagizo ya Chama kwenda kwa Serikali.

Lakini wakati wa Uchaguzi wa Serikali Kuu au Serikali za Mitaa, hao watu hutumika kuhakikisha Chama Tawala kinaendelea kusalia Madaraka.

Kwa maana DC/RC huteuliwa na Rais ambaye hutokana na Chama Tawala, kwahiyo hao wanatumika kwa maslahi ya Chama tawala.
 
Naomba Wanasheria wa hapa Jf mnieleweshe , hii inakuwaje ? DC ni cheo cha kusaidia serikali , inawezekanaje kufutwa kazi kwa sababu kuna wanaccm wamerudisha kadi za Chama ?

Chama cha siasa huwa kinaruhusiwa kuwa na viongozi wake wa Wilaya , akiwemo Mwenyekiti na Katibu , hawa ndio wanaotakiwa kuwajibishwa kwa Masuala ya Chama chao , Why DC ?

Naomba maneno yasiwe mengi , kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ( japo ni mbovu ) , Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa ?
Haya hapa

Haya ndio majukumu ya mkuu wa Wilaya
 
Sa kama kupata ajira sekta flan unatakiwa uwe na kadi ya chama unategemea nn? Kila jamb ili liende au upate kula inabid ufuate taratibu zao!!
 
Naomba Wanasheria wa hapa Jf mnieleweshe , hii inakuwaje ? DC ni cheo cha kusaidia serikali , inawezekanaje kufutwa kazi kwa sababu kuna wanaccm wamerudisha kadi za Chama ?

Chama cha siasa huwa kinaruhusiwa kuwa na viongozi wake wa Wilaya , akiwemo Mwenyekiti na Katibu , hawa ndio wanaotakiwa kuwajibishwa kwa Masuala ya Chama chao , Why DC ?

Naomba maneno yasiwe mengi , kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ( japo ni mbovu ) , Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa ?
Hivyo ni vyeo vya kichama
 
Back
Top Bottom