Wana CCM wachoma kadi Monduli na Arumeru

Hao wamasai hawana lolote, wachome tu, watake wasitake Raisi Magufuli amesema atawatetea wananchi wote, wale wa CCM na hata wa upinzani!!!
 
watu wenyewe hawajai hata kwenye kiganja, hawana hata effect hao watu wenyewe wanakalia kuchunga ngombe kula watapiga saaa ngapi za kanda ya ziwa zinatosha kabisa kumpa Dr magufuri uraisi
 
toeni siasa za ukanda maccm mnaligawanya taifa kisa mnatafuta madaraka......ccm mkija kwenye kampeni mna taarabu nzr pate madaraka muone mnaanza kuchangisha maendeleo kisa hamna hamna serikalini....lkn za kuwaonga mnazo hakuna cha magufuli wala makomeo ccm ni ile ile jana na leo
 
Wa kuu wakati ITV wanapitia magazeti gazeti la jambo leo limenukuliwa kuwa wananchi walio chukizwa na kukatwa Lowassa wameanza kuchoma kadi za CCM.

Naomba undani wakuu maana taarifa zingine zinasema yupo katika mazungumzo na UKAWA agombee huko,wengine wanasema serikali ya CCM inataka kumuweka kizuizini yaani kila mmoja anasema lake kunogesha wanajamii.

Kama mjuavyo kipindi hiki ndicho kilele cha siasa baada ya yaliyosemwa tangu miaka mitano iliyopita.Lakini bahati nzuri nilikuwepo Dodoma nje tu ya makao makuu ya CCM walimojifungia kukata majina.

Nilikuta watu kwa maelfu wakiwa nje wakisema hawakubali Lowassa kukatwa.

Wakuu nijuzeni.
 
Kweli JEMBE maccm nihakunaga chamsingi CDM watuambie nn wanampandisha ili tumtetee kwa kura zetu hats kama ni 1 kijana MWENYE akili timamu anaetegemewa hawezi kusapot maccm wengene humu kulakulala tu pointing hamna
 
maccm yatakufa mwaka huu
Mimi hata huko Mbagala waliko fanya mkutano niliona wakisema ccm oyee,waliokuwa wanaitikia ni wale wa mbele pale na wenye sale.Kama picha ile ume ingalia utaligundua hilo.Siasa za Tanzania sasa hivi zime badilika.watu wanakuja kwenye mkutano hata kama wanamaamuzi yao mengine.Kama ambao huwa wanjaa kwa Zito unafikiri niwake wale?
 
Back
Top Bottom