Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 831
Hao wamasai hawana lolote, wachome tu, watake wasitake Raisi Magufuli amesema atawatetea wananchi wote, wale wa CCM na hata wa upinzani!!!
Siasa na sheria za nchi hii ni vichekesho, yaani Magufuli tayari anajiona ameisha kuwa rais au kwa sababu anapeperusha bendera ya CCM basi anaona Tz ni mali ya CCM?
Isitoshe kwa nini huyu jamaa anaanza kampeni kabla ya wakati na LILE RUBBER STAMP LIITWALO 'TUME YA UCHAGUZI' LIKIANGALIA?
Kweli nchi hii vichekesho, sana sana hiki chama kinachomaliza muda wa kutawala kivichekesho.