Wale ni Lowasa kwanza chama baadaewatu na maslahi!! Loh ! Naona hawa hawataki chama kwanza.
hapo ccm itakuwa pasu pasuLowassa anahamia chadema na habari za ndani ni kuwa anakwenda monduli kugombea ubunge kupitia chadema
Lowassa anahamia chadema na habari za ndani ni kuwa anakwenda monduli kugombea ubunge kupitia chadema
Utajidanganya mno kuzipuuza habari za Lowasa.Ni vizuri kuzifahamu ujue namna ya kukabiliana nazoHabari za lowassa kwa sasa ni sawa na ngera. Tunajadili mambo mengine siyo lowassa.
Hao wamasai hawana lolote, wachome tu, watake wasitake Raisi Magufuli amesema atawatetea wananchi wote, wale wa CCM na hata wa upinzani!!!
Sio Monduli tu bali gazeti limeandika wakazi wa Monduli,Arusha wachoma kadi za CCM.
Nimeona heading ya hilo gazeti na hivyo ndivyo linavyosomeka.
Kigogo bwana ,asubuhi hii wamekupa MATANGO pori?Hivi unadhani Lohassa ataondoka ChiChiEM?Hata kwa fimbo haondoki,amesema wasiomtaka waondoke.................Ataimaliza CHICHIEM yetu taratibu kama kansa inavyokula mifupa.............
Nilishasemaga hapa mara nyingi,watz ni watu wa kusahau na kurubuniwa kama malaya.
CCM imeharibu nchibna hakuna anayetoka ndani ya CCm anaweza kubadilisha mwelekeo hata lowassa mwenywe hawezi. Kwanini tujidanganye??
Nilikuwa namsupport lowassa nikijuwa kuwa atasababisha tafrani ndani ya CcM,na bado. We need more news,scary news watu wabadilike.
Tunataka nchi mpya yenye mtazamo mpya na usawa. Kwanza hata demokrasia aliifanya kikwete sio demokrasia,ale ni janja kulindana na kubebana na akashindwa.
Lowassa kama mjanja aivuruge CCm kama kukosa wakose wote. Kwa upande wa wananchi tutapata mpinzani na mambo yataenda sawa tu.
. Hakika wanatumika, lakini pia kwa uelewa wao mdogo, wako huko waliko; hawajui kwa undani yaliojiri hadi kupelekea Shujaa wao kukatwa. They feel cheated.Mbona Lowassa hajachoma yake bado?? Kweli hao ni wa kupuuzwa...wanatumika