Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

Angalia hii video uone mafisi yanavyokula wanyama wakiwa alive ili uondokane na 'imani'/ 'dhana' uliojengewa na hadithi za wahenga kuwa fisi anakula mizoga tu na mifupa tu.

 
Last edited by a moderator:
Ushindi wa kishindo kwa CCM ni kujipa moyo tu,ukweli ni kwamba itaanguka kwa kishindo kikubwa sanaaa, tumechoka kufanywa mandondocha was nchi yetu wenyewe
 
Ccm mwaka huu mnakibarua kigumu lakini ninawakikishia mtatoka bila bila pamoja kwamba mmeaidi bao la mkono hiyo ni mikwala tu ya mbuzi tu
 
Hatuna kibarua wala nini...ndio maana tumetulia kimya tukijiandaa...nyie kusanyeni wahuni na wavuta bangi vijiweni mpeane faraja mitaani...nawaambia jibu mtalipata October...CCM haitishiwi nyau bwana...wako wapi kina Lyatonga banaa ?bado na mtasubiri sana kuitoa CCM madarakani.CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Maskini...Kama nakuona vile ulivyokata tamaa...ila huachi kujipa moyo maskini....ama kweli maCCM ni "mandorooobo"
 
Back
Top Bottom