mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 978
Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira
fisadi atajulikana tu.waliioiba escrow wakaficha majina lowasa lazima awaweke hadharani patamu ni pale hayati balali atakaporejea