Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

wewe na ukoo wako wa panya buku mlitaka kutueekea rais toka ukoo uleule wa mipanya bahati nzuri mkastukiwa manguruwe ninyi,
 
Kishindiooooo???????!??
Yaani Zaidi ya Asilimi 80% ????????
Ccm mshindee !???? Hiii kalii ;!!!
Tusubiri tuone
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

Ama kweli maji ya shingo safari hii,kwa hiyo unahamasisha wenzio kupost kwa wingi kuwajibu ni pamoja na kupost uongo uongo! Umeanzisha thread nyingine unasubiri NEC imkate mgombea Urais wa chama kingine hapo kesho😳! Sijawahi ona CCM ikiwa desparate kama uchaguzi wa safari hii
 
UKAWA siwapendi huwa napata kichefuchefu kwa sera zenu!! endeleeni kubaki wabunge ili mchangamshe bunge ila uraisi!!! siyo leo au kesho
 
Hv ccm kusoma hamjui je picha hamuoni jmn ??watu wanachoma kadi,wanajiunga upinzani wanalamikia rushwa nyie mpo tu bado mnaipenda
Ndoooooorobo kwelikweli

Hizo ni planned events. Kwa chama kikubwa kama CCM mambo kama hayo lazima yatokee.
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

Wanajipa moyo waache wahangaike wanajua wazi EL hasafishiki ndo maana vitisho vingi
 
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.

Hata riz1 na kikwete wapo ccm kwa maslahi yao. Ongezea na Nape, mwasisi wa CCJ.
 
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
Mkuu hawa ndugu zetu wamuulize Mrema yaliyompata mwaka 1995. Mwaka huu Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanaingia ulingoni na hapo ndipo wataisoma namba. Mrema alishughulikiwa na Mwl. Nyerere peke yake lakini mwaka huu kikosi kazi ni kikubwa mno!
 
Mkuu hujanitendea haki kunisahau na mimi kwenye orodha teh teh teh
 
Mkuu hawa ndugu zetu wamuulize Mrema yaliyompata mwaka 1995. Mwaka huu Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanaingia ulingoni na hapo ndipo wataisoma namba. Mrema alishughulikiwa na Mwl. Nyerere peke yake lakini mwaka huu kikosi kazi ni kikubwa mno!

Hivi mh. Mkapa kule kwenye jimbo la arumeru magharibi si alienda kumpigia Kampeni yule mgombea wa CCM na bado nasari(CHADEMA) akashinda au?
 
Mkuu ule ulikuwa uchaguzi wa kijimbo. Oktoba ni Uchaguzi Mkuu wa kumpata Rais ambaye ataongoza taifa lenye watu milioni 45 na siyo hao wa Arumeru!
 
Hahaha sasa kama wa jimbo ilikuwa ni shughuli pevu vp kwa nchi mzima mkuu!All the best mkuu
 
Nimekuambia kuna Kikosi kazi cha marais watatu; Mkapa, Mwinyi na Kikwete! Au haukuyaona hayo majina mengine!
 
Hv ccm kusoma hamjui je picha hamuoni jmn ??watu wanachoma kadi,wanajiunga upinzani wanalamikia rushwa nyie mpo tu bado mnaipenda
Ndoooooorobo kwelikweli

Hayo ni makapi ya lowassa lazima yaondoke naye ili wabaki wasafi ili tushinde kwa kishindo October.
 
Back
Top Bottom