Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
This time mtapata kipigo cha mbwa mwizi.
Jiandae kisaikolojia.
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira
Nyie si mnalipwa 7000 kila siku pale Lumumba ili muendelee kukisaidia chama chenu?😉
Mtu akielewa anijulishe alichomaanisha mleta mada
Eti leo anatoa machozi ya mamba kujaribu kutafuta huruma toka kwa jamii
This time mtapata kipigo cha mbwa mwizi.
Jiandae kisaikolojia.
Kumbe mnaumia kiasi hiki hadi mnapeana faraja hadharani? Na bado huu ni mwanzo tu.
Hao wanaolipwa ni akina nani? Haya ni mafuriko tu msijipe moyo.
Binafsi nimejitolea kwa moyo wangu kuwasupport UKAWA na Lowassa.
Mjukuu wa kinana kwann,
Kwann usitete ugal wenu,
Mwaka huu muondoke tu,
Tumewachoka.
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.
Yana hapa JF,FB,INSTA n.k kukuta post ya magamba ni nadra sana,inaonyesha msivyopendwa
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.
Ukiisifia sisiem una matatizo ya akili
Nataka kujua kama wewe ni mwanaume au mwanamke,?kijana au mzee? Kuna uwezekano ukawa na roho ya kimaskini sana imekutawala,hivi kabisaaaaaa umeridhika na hali ya kiuchumi uliyonayo kulinganisha na rasilimali zilizopo,ungekuwa karibu yangu ningewapa mbwa wangu wakutafune