Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Kamuone Mbowe. Zile bilioni kumi alizohongwa na Lowasa hazijaisha

tena mi ntawasaidia kupost thread 7 kwa siku yani mpaka jukwaa la mapenzi kule Nawepelekea wakinitukana basi ila tu mi niingize mshiko wangu per day
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Mkuu kama hamlipwi litakuwa ni tatizo kubwa sana,yahani zile zote za eskroo zisizo tosha hata kwenye viroba jamaa wanaswenda peke yao?
 
Yanayotokea monduli muheza mwanza wanachama maelfu wanahama nazo ni propaganda huu ndio mwisho wenu ccm Endelea kujifariji
 
Ha ha haaa! jamaa linakufa na tai shingoni!
 
Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira
Kama lowasa ni fisadi mbona mmeashindwa kumpeleka mahakamani,mbona magufuli katajwa na ripoti ua CAG kaiba hela nyingi sana zaidi ya bilion 253 na mkaampitisha agombee urais.wewe sema tukupe kadi ya chadema roho yako isuuzike
 
Nataka kujua kama wewe ni mwanaume au mwanamke,?kijana au mzee? Kuna uwezekano ukawa na roho ya kimaskini sana imekutawala,hivi kabisaaaaaa umeridhika na hali ya kiuchumi uliyonayo kulinganisha na rasilimali zilizopo,ungekuwa karibu yangu ningewapa mbwa wangu wakutafune

Naunga mkono hoja 100%
 
Yanayotokea monduli muheza mwanza wanachama maelfu wanahama nazo ni propaganda huu ndio mwisho wenu ccm Endelea kujifariji

Inawezekana anadhani wale wanaohama wanafanya maigizo. Anangojea mda wa maigizo uishe.
 
Mkuu kama hamlipwi litakuwa ni tatizo kubwa sana,yahani zile zote za eskroo zisizo tosha hata kwenye viroba jamaa wanaswenda peke yao?

Wanatumika bila kujijua. Usiwaamshe bhana Manake wanaweza kuja UKAWA.
 
Mjukuu wa kinana kwann,
Kwann usitete ugal wenu,

Mwaka huu muondoke tu,
Tumewachoka.
 
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.

Mwenyekiti wenu wa Chama yupo kwa maslahi mapana ya taifa sio?
Au yupo kuwasaidia maskini?
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

Usidanganye wenzako, huko ccm hamna mwenye mapenzi na chama chenu, huko mnalinda masilahi yenu tu, mnagawana Maliasili ya nchi, asilimia 60 ya watanzania hawapati mahitaji muhimu kwa uhakika, Chakula, maji,makazi na elimu. Mwaka huu mtoboi.
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

Kama unataka tuamini ya kuwa hata Mzee Kingunge alipiga propaganda kwa kusema ukweli ya kuwa kamati ya maadili ilikiuka kanuni na maadili basi tutakuwa tunajidanganya. Mambo mengi tunayoandikiwa ni ya kweli, ila sababu sisi ni sikio la kufa basi huwa tunapuuza kama tulivyompuuza Mzee Kingunge na kumkejeli kwa kumwambia aamue anachotaka. Kama tulivyopuuza maoni ya wananchi kwenye Katiba, Kama tulivyopuuza chaguo la wananchi wengi Lowasa kwenye kiti cha urais nk. nk.
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Hii ni kauli ya kukata tamaa, sasa kama kwenye mitandao mtajibu ni akina nani watajibu na watajibu nini?! wenzako akina mussa HALLAN na Laki si pesa wamekimbia, ritz na faizafoxy nao wako kwenye mgomo baridi baada ya kuona magufuri hauziki hata kwa dawa. Pole mkuu stand out of the crowd follow Lowasa.
 
Last edited by a moderator:
Don't be too sure the road is very unpredictable! Watanzania wa leo sio qa miaka ile na wameshachoka na mfumo wenu wanataka mabadiliko. Siamini kama wote wanapewa pesa wawaponde wanatoa hisia za mioyoni mwao! Kwani walioweza huko Kenya, malawi, Zambia ilikuwaje?
 
Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahira

Hamna sera ndio maana mmeshupalia kumwona EL mbaya! alipokuwa kwenu mbona hamkumuona? Kwani fisadi ni EL pekeyake hii nchi? Acheni mambo yenu!
 
Hv ccm kusoma hamjui je picha hamuoni jmn ??watu wanachoma kadi,wanajiunga upinzani wanalamikia rushwa nyie mpo tu bado mnaipenda
Ndoooooorobo kwelikweli
hata mti ukiona una makapi ya majani unapukutisha na kuanza upya!!
 
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.

U don't know what ur talking na watanzania wote wangekuwa na akili kama zako mabadiliko tungeishia kuyasoma tu kwenye historia ya nchi za wenzetu walioweza! Wengi wana akili kama yako ila wale wachache wanaojitambua watapigania mabadiliko!
 
Back
Top Bottom