Wana CCM ni dhaifu kunyamazia swala la Nchimbi!

Wana CCM ni dhaifu kunyamazia swala la Nchimbi!

acha porojo na upotoshaji jukwaani ndugu mdau wa jf, na itapendeza zaidi,

huenda ni kwasababu uko kwenye chama cha siasa ambacho hakina hata sifa ya kushiriki uchaguzi Tanzania, ndio maana umekua na mawazo mgando namna hiyo, sambamba na mtoa porojo hii mezani:pedroP:

Mwanzoni nilihisi ulikuwa na mapenzi mema na Dr Nchimbi, kumbe haikuwa sahihi. Wewe yumkini ni chawa asiye na ubinadamu wala utu, unachoangalia ni tumbo lako tu, hata kama watakuja waovu wakamwua baba yako, lakini wakalishibisha tumbo lako, bila shaka utashangilia!!
 
Gentleman,
relax na utoe maoni yako dhidi ya hiyo porojo ya mfuata mkumbo mwenzako jukwaani bila kumbwelambwela au kuniuliza mambo useless ambayo ccm ilikwisha yaeleza hadharani :1Head:

Wewe kweli bwege wa akili!! Ni lini CCM ilieleza wapi aliko Nchimbi na Polepole?
 
Wewe kweli bwege wa akili!! Ni lini CCM ilieleza wapi aliko Nchimbi na Polepole?
sasa muerevu mbona una expose mihemko yako useless tu jukwaani na kuendekeza porojo nonsense? :NoGodNo:
 
Mwanzoni nilihisi ulikuwa na mapenzi mema na Dr Nchimbi, kumbe haikuwa sahihi. Wewe yumkini ni chawa asiye na ubinadamu wala utu, unachoangalia ni tumbo lako tu, hata kama watakuja waovu wakamwua baba yako, lakini wakalishibisha tumbo lako, bila shaka utashangilia!!
hizo porojo zako useless jukwaani,
ni vizuri ukawafurahishe nazo wafuata mkumbo wenzako gentleman na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM .

Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
Ni hadi pale makuu wao wachama atakapotoweka,ndipo watakapofungua mdomo Yao,uzuri Mungu sii Mjomba Athumani🤔
 
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM .

Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
Ukiwa ndani ya CCM, you MUST put aside your personal interest for the interest of the party. If you go against, that means, you've decided to go solo and CCM as a party has nothing to do with you!
 
Back
Top Bottom