Wana CCM Arusha walisukuma gari la Lowassa Mzee wa maamuzi magumu kwa furaha ya kumuona.

*Mkuu watanzania wengi sio wanachama wa chama chochote cha siasa.
Hivyo huhitaji kura za wanachama wako ili uchaguliwe kuwa rais wa Tanzania.

*Watanzania wengi kwa sasa wanaiunga mkono sana CHADEMA kwa sababu ya dhamira ya dhati katika kutatua matatizo ya watanzania.

*Kuna kila dalili kuwa rais atatoka CHADEMA kama tu uchaguzi utakuwa huru na haki na pia kama Chadema itakuwa imesimama vizuri mpaka 2015 kama ilivyo sasa.


*Sioni nafasi ya Lowassa kujisafisha mbele ya macho ya watanzania wapenda haki ili aweze kukubalika.

*Sijui kama unajua ni kwanini Lowassa anakubalika na wanaCCM wengi?

Mkuu Concrete huwa naheshimu sana mawazo yako na mara nyingi huwa nakuunga mkono kwa sababu huwa unajaribu kuwa na hoja za maana,lakini leo nashangaa sijui umekuwaje?!!,hebu angali hapo kwenye red hivi umefanya tathmini gani kwa sababu umeacha plane tu yni hakuna pointi za kusapoti hiyo kitu,hebu fikiria vizuri halafu uweke hiyo hoja yako vizuri lakini siyo kuicha inaachama hivyo.
 
Mkuu ninazungumzia huko kufurika unakokusema, mbona hakukuwepo?

Mkuu Concrete hebu naomba jaribu kurudi mwanzo kabisa kwenye comment yako ya kwanza kabisa kwenye Thread hii,nakushangaa sana,lakini la pili nadhani hizo picha za video ulizonazo na still ni tofauti na za wenzako,

Mimi nitakubaliana na wewe kwamba watu walikuwa wameja kwenye huo mkutano lakini yawezekana hawakuwa wanachama wa CCM na maybe wengi wao walikuwa ni cdm ambao walikwenda ili kuona kuna hoja gni ya maana wanayokwenda kusema Lowasa na Kinana!!
 
Kwani hapo hujaelewa nini,kuna chama kina wanachama wengi kuliko CCM ndni na nje ya nchi hii kwa vyam vilivyoko hapa nchini?,kauli yake iko sawa kama anapendwa na wanaccm maana yake ni kwamba ni hao ndio walio wengi na wanawakilisha watanzania ukiwemo na wewe tumia akili ya kichwa mkuu!

Wewe ndiye utumie akili kufikiria maana unatumia masaburi kufikiri mimi siyo ccm yani unataka kuniambia mke wako na mimi unataka kuniambia niwangu basi mimi simtaki mke wako ana ukimwi usini lazimishe kuipenda magamba
 
Ni mchapa-kazi na uwezo wake wa kusimamia maendeleo upo wazi kabisa, tushachoka na hawa vibaraka wengine
 
Mkuu Concrete huwa naheshimu sana mawazo yako na mara nyingi huwa nakuunga mkono kwa sababu huwa unajaribu kuwa na hoja za maana,lakini leo nashangaa sijui umekuwaje?!!,hebu angali hapo kwenye red hivi umefanya tathmini gani kwa sababu umeacha plane tu yni hakuna pointi za kusapoti hiyo kitu,hebu fikiria vizuri halafu uweke hiyo hoja yako vizuri lakini siyo kuicha inaachama hivyo.
Nitajaribu kufafanua kwanini hivyo

1/Watanzania wengi sana wamechoka na CCM, why? Hawaoni matumaini yoyote ya kutatuliwa matatizo makubwa yanayowakabili.

2/CCM kwa sasa imepoteza kabisa mwelekeo wake wa kisiasa.
How? No Vision, No Discipline, Poor Organization, Poor movement.

3/Uwezo wa Chadema kisiasa katika kushawishi kwa sasa ni mkubwa sana.
How? Kinachosemwa na CHADEMA kwa sasa ndicho kinachoaminiwa na watu wengi kuliko kinachosemwa na CCM au serikali.

4/Uzito wa hoja wanazosimamia CHADEMA zinakubalika sana kwa raia wengi wa kawaida.

5/Kukua kwa uelewa na ujasiri wa wananchi katika mambo ya siasa.

6/Kukua na kusambaa kwa mfumo wa technologia ya mawasiliano nchini.
 
Wewe ndiye utumie akili kufikiria maana unatumia masaburi kufikiri mimi siyo ccm yani unataka kuniambia mke wako na mimi unataka kuniambia niwangu basi mimi simtaki mke wako ana ukimwi usini lazimishe kuipenda magamba

Akili yako ni sawa na hiyo ID yako!
 
Concrete Unapofunguka kidogo huwa unaeleweka,OK nakubaliana na wewe lakini kumbuka kila jambo na wakati wake nawexa kuamini na kushawishika kwamba huu ni wakati wa CHADEMA kufanya kila wanaloliona na likakubalika kwa jamii,kwa sababu tu ya pointi zako hizo sita,lakini wasiwasi wangu ni kama hali hii itakwends mpaka wakati wenyewe yani mwaka 2015,kwa sababu huko nako hawachelewi kuvurugana na kutimuana wanakosa uvumilivu na hasa kwenye mambo magumu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu tuache wivu Fisadi Lowassa anapendwa sana na wanaCCM walio wengi.
Huu ni ukweli mchungu sana kwa baadhi ya watu.
Mkuu wewe sio wa kwanza kumkubali Lowassa, alianza Sophia Simba aliesema "ndani ya CCM hakuna mwanaume wa shoka kama Lowassa" sasa kama ccm nzima yeye ndio mwanaume wao washoka kwa nini wasimkubali.?
 
Hilo ndio jembe letu linaloweza kutulete maisha bora kwa kila mtanzania. May almighty be with him.
 
Nguvu ya lowasa ilishadhihirika arumeru ambapo mgombea(mkwe wake) aliyekua akimkampenia alidondokea kiuno.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Anapendwa na wan CCM wa monduli!Mungu atajibu tu kabla ya 2015!Nchi hii ina watu makini wengi tu wenye uwezo wa kuiongoza kwa uadilifu na bila kashfa!
 
Back
Top Bottom