Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Ni dalili za kuchoka kwa mkuu wa nchi, mwili na akili yuko hoi
 
Kwa kuwa chadema mmezowea mapigano na umwagaji damu,basi kauli hii nyinyi mnaitafsiri kwa mujibu wa taratibu zenu.

Wewe utakuwa na ugonjwa wa akili. Sijui kama uliangalia vizuri taarifa ya habari TBCCM1. Ametaja matukio ya watu waliojeruhiwa vibaya, akataja cdm akiwatuhumu kuhusika ndipo akatoa tamko la kuwataka wana ccm wasiwe wanyonge.

Hii ni kauli ya kuchochea VURUGU coz ameongea akiwa sirias. Acha kutetea hoja dhaifu
 
Wewe ni mgonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini!

Ndio JF hiyo, ukiumizwa na hoja upo huru kumjadili mtoa hoja. Sisi wakongwe wa JF hatuna tatizo na watu kama nyie, tunamkoma nyani giladi.....kwa hoja.
 

hata sisi tutajilinda dhidi ya hawa janjaweed wa kijani,ukizingatia mmeshabaki vijana tena dhaifu kwa kumezeshwa unga na vile vibibi njaa visivyojitambua! awamu hii jino kwa jino tu,nilitegemea kauli hii angeitoa hata kipindi kile Machemli na Kiwia wanakatwa mapanga ningemwelewa! sasa muraa huu ni wakati wa kunoa sime zetu kwa ajili ya kujilinda na tuufate ushauri wa prof lipumba wa kuanza mazoezi ya judo!!!!
 


viva rais wetu...

viva mwenyekiti wetu....

tunaukataa unyonge kwa nguvu zetu zote... kwa mioyo yetu yote na kwa akili zetu zote...

binadamu ana kikomo cha uvumilivu na hatuwezi vumilia madhila makubwa namna hii yawapate wenzetu

nilimwambia Baba V kuwa safari hii KALENGA ccm hatutakuwa wanyonge....
 
Last edited by a moderator:

ningeshangaa sana kama usingesema maneno kama haya.
 
Last edited by a moderator:

subiri uone....

sisi tunajivunia umoja wetu...

wanachama zaidi ya milion 6 ni umoja tosha unaoukimbiza unyonge
 
kwa ujumla hakuna KOSA kjbwa walilowahj kufanya watz kama kumchagua Kikwete kuwa Rais
 
ningeshangaa sana kama usingesema maneno kama haya.


huwezi kushangaa kwakuwa inajulikana kabisa mtu aliyejeruhika atalia vipi...

Unyonge sasa basi mwenyekiti wentu mpenzi Allah ampe heri ametutoa wasiwasi...

Lazima tujenge jamii inayoheshimu haki na uhuru wa watu wake.
 
kwa ujumla hakuna KOSA kjbwa walilowahj kufanya watz kama kumchagua Kikwete kuwa Rais


utasema mengi

CCM ndo chama pekee kinachoweza kutunza amani ya taifa hili
 
huwezi kushangaa kwakuwa inajulikana kabisa mtu aliyejeruhika atalia vipi...

Unyonge sasa basi mwenyekiti wentu mpenzi Allah ampe heri ametutoa wasiwasi...

Lazima tujenge jamii inayoheshimu haki na uhuru wa watu wake.

kwa watu wa type wako tusitegemee tanzania inayojielewa
 
utasema mengi

CCM ndo chama pekee kinachoweza kutunza amani ya taifa hili

ww ni mwe...hu na hujielewi!!! kakoloe ulale..
amani pasipo ustawi wa taifa ni zaidi ha utumwAaa
 
Hata CUF walitulia mara tu baada ya Mh. Amani Abeid Amani Karume kuwakumbusha kuwa Mapanga ya Mapinduzi bado yapo.
 
kiukweli kasahau kabisa kama yeye ndiye kiongozi mkubwa kabisa wa hii nchi. kauli yake ndio kauli kuu ya nchi. sasa yeye anaposema hayo kwakweli nimeshindwa kabisa kumuelewa


subiri utamwelewa tu..

punguza presha basi lifike kituoni utashuka tu
 

Kumbukeni waziri mkuu alishasema piga,kikwete nae ka kopi na kupest,kwahiyo sijui anataka wananchi wanaoipnga ccm wauwawe au vipi,haeleweki,acha aruhusu kupiga watu atajuta juu ya ccm kuambulia patupu 2015
 
Usijaribu kusawazisha. Alitakiwa aseme hii inatokana na uzembe wa usimamiaji wa sheria kwa polisi kwanini hawaja wakamasta wahalifu.
 
kwa watu wa type wako tusitegemee tanzania inayojielewa


kwako TZ inayojielewa ni ya tabaka moja la watu kuchoma watu nondo machoni...

kumwagia watu tindikali....

na kukata watu mapanga?

kujielewa ni kuwa mnyonge dhidi ya wengine?

Unahitaji msaada mkubwa wa fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…