Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

ccm wote akili zao sawa, hakuna mwenye nafuu, na huyo ndo mwenyekiti wao.
 
Mkuu Tuko nadhani wewe ndio uko out of your mind ... hizi propaganda za kumchafua Rais wa Tanzania tumeshazibaini, na hatutaziacha ziendelee!

Mi Kikwete namheshimu sana personally. But kauli aliyotoa amenidisappoint
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu mnayemwita rais Kikwete anajua matukio yaliwakuta wafuasi wa Chadema kwenye kila chaguzi? Mimi nadhani sasa ni wakati wa Chadema kutekeleza ule mkakati wetu wa kuimarisha vikosi vya ulinzi wa Red Brigade, maana hali ya hatari imeshatangazwa dhidi yetu na hili halina kificho sasa ni hadharani tu.
 
Asamehewe bure kwasababu alighafilika baada ya kupewa na kuisoma report ya mwenendo wa chama hasa katika chaguzi ndogo.

Amemaanisha tuandae na kunoa mapanga yetu, na kununua pinde na mishale, fita ni fita muraaa, mwenye mkuki ahayaaaa mwenye kombeo bebabebaaa aruta continuia
 
Peter Kibatala anaandaa kukamilisha mashtaka na anakwenda Mahakama kuu kufunguwa kesi ya kikatiba dhidi ya huyo Vasco da Gama.

Hizi pumba zako subili uende ukawajibu majaji kesi ikishaaiva


.....Safi Kamanda!!!!

bora akaifafanue huko mahakamani....
 

Unless Tanzania have a joke for a President!
 

...True Kamanda jamaa kashatutangazia !!!!
 
Tunatakiwa tusiwe wanyonge tutembee vifua mbele CCM ndio tunaotawala hii nchi.

Mpo hapo mlipo?

He he he 😀 Dada FaizaFoxy Vifua mbele kwa Tanzania hii yenye matatizo kila kukicha..!!!

kwani hujui unyonge wenu unatokana na nini..?

Ukiwa dhaifu tegemea kuwa mnyonge...
 
Last edited by a moderator:
Rais wa nchi anawaambia wananchi wake wajichukulie sheria mikononi, halafu mi-mburula kama wewe inaona sawa !

Tusubiri, labda ikulu watakapolitolea hili ufafanuzi (sioni watakwepaje kufanya hivyo) wata-act umburula kama wewe na maCCM wengine !

Tumesema sasa unyonge basii! Haya tafsiri unavyotaka wewe.
 
Watu wenye mtindio wa ubongo ndiyo wanaoongza Tanzania,sasa mnategea nini wakati anatoa hili tamko tena kwa kusisitiza,matahira walikuwa wanashangilia kwa nguvu zote,na wengine wameenda bar kujipongeza kwa kauli ya TAAHIRA.

Hata kauli ya "wapigwe tu" ilipotolewa nao walishangilia sana
 
Rais wa nchi anawaambia wananchi wake wajichukulie sheria mikononi, halafu mi-mburula kama wewe inaona sawa !

Tusubiri, ikulu watakapolitolea hili ufafanuzi (sioni watakwepaje kufanya hivyo), labda nao wata-act umburula kama wewe !

Tumesema sasa unyonge basii! Haya tafsiri unavyotaka wewe.
 

Acha kulialia kama mtoto,nyie chadema mmezowea sana ubabe! Sasa unyonge basi.
 
Dunia nzima inajua Tanzania hawana rais,ndie huyu Pk anamwinda kwa udi na uvumba...
Cjapata ona rais mbovu kama huyu,hivi yeye ni rais wa ccm au tanzania hata busara hana..
 
Hata kauli ya "wapigwe tu" ilipotolewa nao walishangilia sana

Nyufa alizozibainisha hayati baba Nyerere bado zinaiandama Sisiemu. Hiii itakuwa ni vita ya watawaliwa dhidi ya watawala.....
 

Poor you indeed
 
Dunia nzima inajua Tanzania hawana rais,ndie huyu Pk anamwinda kwa udi na uvumba...
Cjapata ona rais mbovu kama huyu,hivi yeye ni rais wa ccm au tanzania hata busara hana..

Kichwa cha Nazi Mkuu tena ni kiazi kikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…