Rais amechanganyikiwa
Kweli kabisa... nadhani ni wakati muafaka sasa jeshi lichukue nchi ili kutuokoa na vita...
Kweli kabisa... nadhani ni wakati muafaka sasa jeshi lichukue nchi ili kutuokoa na vita...
Ndio maana sitashangaa siku nikisikia mapinduzi ya kijeshi Tanzania. .. huyu raisi is totally out of his mind...
huna sababu ya kumwita mkuu mbeba boksi huyo
Yeriko hampaswi kumsuta JK kwa kauli yake, mnapaswa kujiuliza kama aliyoyasema ni ya kweli na kamani ya kweli basi muone umuhimu wa kubadilika amani ya Tanzania haitalindwa na rais KIKWETE au CCM peke yao, ni jukumu la taifa zima mkiwemo ninyi mnaolalamkiwa.
Tanzania nchi pekee duniani iliyobahatika kuongozwa na boya
Tanzania nchi pekee duniani iliyobahatika kuongozwa na boya
naomba tafsiri kutoka kwako wa hii kauli.
sheria yatakiwa ichukue mkondo wake kwa mtu yeyote inapobainika kukivunja kama wafuasi wa chadema walivunja sheria kwa kuvamia wana ccm basi jeshi la polisi liwajibike hii ndo kazi yao wanayolipwa na kodi za watanzania, kumbe ndio mahana ccm arusha wanawatumia majambazi kama wakina mjusi kukata wafuasi wa chadema mapanga na amna atua yeyote inachukuliwa kumbe ruksa toka kwa wakuu wa nchi? owk tumewaelewa wakuu ila mjue ya kuwa amna atakae onewa tutatwangana sawa sawa kama mlivyo turuhusu tuone matokeo yake. THIS IS BULSHIT,