Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

Jana wakati James ole milya akizindua kampeni zake huko simanjiro katika mkutano mkubwa kuwahi kushuhudiwa huku lema akiwa amealikwa wanachama wa ccm 3000 walitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema hili ni jimbo la ole sendeka mkoani manyara
hiyo ni idadi ya wanaccm jimbo zima , sendeka jitoe kwenye uchaguzi ili kupunguza aibu .
 
Kuhama toka chama kimoja kwenda kingine ni haki ya raia. Kikubwa mbele yetu ni kura zitapigwa upande gani? Na hilo ndilo litakaloamua aidha kuna mabadiliko au hakuna.
 
Mmekuwa mkihubiri mabadiliko, lakini nyie mnaotaka mabadiliko hamtaki kubadilika, mko vile vile, matendo yenu ni yale yale
 
Back
Top Bottom