Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

Kweli mambo ya siasa magumu Sana ole Millya alifanya maamuzi magumu Kwa kuondoka ccm kwenda CDM na kumuacha baba yake lowasa ccm Leo hii wote wako CDM .kweli nani kaona kesho???
 
Actually Upareni na Usambaani wanatakiwa wahakikishe Magamba wanang'oka ... ARUSHA, TANGA, K'NJARO ... CCM haitakiwi ... TABORA, SINGIDA, DODOMA tayari wameing'oa CCM.... MBEYA, SONGEA, RUKWA, KATAVI wamemaliza kazi ya kuiondoa CCM... SHINYANGA, MWANZA, GEITA, KAGERA, MARA, SIMIYU walimaliza kazi long time ... DAR MPAKA MORO CCM OUT ... ZNZ, LINDI, MTWARA...CCM wanasikika TBC na STAR TV ...
 
Back
Top Bottom