Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Picha atoe wapi wakati ni uongo
Mbona kama umejifungia chumbani na unaongea kwa kuchunguia
Picha atoe wapi wakati ni uongo
Wana kadi?
Picha atoe wapi wakati ni uongo
Khaa!! Akili fupi sana. Kuwa nwanacdm si lazima umpigie kura FISADI
Atakosa KURA kwa sababu zifuatazo;
☞Ameleta fitina na kusababisha kiwanda cha Rotiana kilichokuwa kikisindika Nyama, maziwa na mazao yake kufungwa kiwanda kiliajiri wana-Simanjiro zaidi ya 2000 kufungwa na hivyo amesababisha halmadhauri kukosa Kodi. Ukosefu wa ajira na kukwama kwa shughulu nyingine za maendeleo
☞ Aliahidi kupeleka maji Orkesumet (makao makuu wa wilaya) maji kutoka Ruvu Remit lkn hajafanya kama alivyoahidi. Nasisitiza aliahidi mwenyewe kwa utashi bila shuruti.
☞ Alisabisha kampuni ya simu kukataa kujenga mnara wa mawasiliano eneo la naberera na kung'ang'ania mnara ujengwe eneo karbu na kijijini kwake jambo ambalo halikuafikiwa na Kampuni.
☞ Anakataza maendeleo kwa baadhi ya maeneo akiwaaminisha wamasai kuwa maeneo hayo yakipata maendeleo yatavaniwa na waswahili, ujinga mtupu.
☞ Anaamini kwa mahitaji ya maji ng'ombe kwanza binadamu baadae. Marufuku kukaribia kuchota maji wakati ng'ombe wana kiu!
Mpaka kieleweke mwaka huu
Vyema sana!Jana wakati James Ole Milya akizindua kampeni zake huko Simanjiro katika mkutano mkubwa kuwahi kushuhudiwa huku Lema akiwa amealikwa wanachama wa CCM 3000 walitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA hili ni jimbo la Ole Sendeka mkoani Manyara.
CCM imebaki Same tu Kaskazini. The least developed district in the north
Jana wakati James Ole Milya akizindua kampeni zake huko Simanjiro katika mkutano mkubwa kuwahi kushuhudiwa huku Lema akiwa amealikwa wanachama wa CCM 3000 walitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA hili ni jimbo la Ole Sendeka mkoani Manyara.
Pole mkuu habari za mbeya, kumbe daktari kakupandia hukohuko?Mmekuwa mkihubiri mabadiliko, lakini nyie mnaotaka mabadiliko hamtaki kubadilika, mko vile vile, matendo yenu ni yale yale