Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

Chadema wakitoka wawili, wanaingia mia8. Kwa mafuriko haya ya lowasa hakika ccm inakufa!
 
jaman!!!akili ya kwambiwa changanya na ya kwako!!!!sendeka ni jembe tena kula la Jf zitawaponza!!!!mnadanganyana kwa robot lenu!!!polen
 
alichokosea zaidi sendeka aliwatukana masai wa kiteto...hapo ndipo alipojipalia mkaa zaid!
 
Jana wakati James Ole Milya akizindua kampeni zake huko Simanjiro katika mkutano mkubwa kuwahi kushuhudiwa huku Lema akiwa amealikwa wanachama wa CCM 3000 walitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA hili ni jimbo la Ole Sendeka mkoani Manyara.

ole sendeka kushne
 
Mkuu nilikuwepo sendeka mr 0 kwishinei.
 
Attachments

  • 1442420090794.jpg
    1442420090794.jpg
    28.1 KB · Views: 810
  • 1442420103438.jpg
    1442420103438.jpg
    28.5 KB · Views: 797
  • 1442420114911.jpg
    1442420114911.jpg
    8.9 KB · Views: 1,208
bora akose mwaka huu...jamaa anatumia mdomo wake kupiga kelele bungeni ili wamuhonge akaanzishe kashfa bungeni....tumelishuhudia ili mara mbili tena ametumika sana na regina machache
 
Khaa!! Akili fupi sana. Kuwa nwanacdm si lazima umpigie kura FISADI
 
Simanjiro ilitelekezwa kwa mda mrefu,sasa ni zamu ya millya kuleta changes,sendeka karibu kijiweni
 
Back
Top Bottom