Atakosa KURA kwa sababu zifuatazo;
☞Ameleta fitina na kusababisha kiwanda cha Rotiana kilichokuwa kikisindika Nyama, maziwa na mazao yake kufungwa kiwanda kiliajiri wana-Simanjiro zaidi ya 2000 kufungwa na hivyo amesababisha halmadhauri kukosa Kodi. Ukosefu wa ajira na kukwama kwa shughulu nyingine za maendeleo
☞ Aliahidi kupeleka maji Orkesumet (makao makuu wa wilaya) maji kutoka Ruvu Remit lkn hajafanya kama alivyoahidi. Nasisitiza aliahidi mwenyewe kwa utashi bila shuruti.
☞ Alisabisha kampuni ya simu kukataa kujenga mnara wa mawasiliano eneo la naberera na kung'ang'ania mnara ujengwe eneo karbu na kijijini kwake jambo ambalo halikuafikiwa na Kampuni.
☞ Anakataza maendeleo kwa baadhi ya maeneo akiwaaminisha wamasai kuwa maeneo hayo yakipata maendeleo yatavaniwa na waswahili, ujinga mtupu.
☞ Anaamini kwa mahitaji ya maji ng'ombe kwanza binadamu baadae. Marufuku kukaribia kuchota maji wakati ng'ombe wana kiu!