Davies Davies
Senior Member
- May 20, 2013
- 118
- 12
Nyie watoto acheni makuzi.....mnaazisha thread ya Aza kumbe mmemaliza 2012
Azania ya Ukweli(Division One za kutosha) na wagumu(Wapiga msuli) iliishia labda mwaka 2002.
Baada ya hapo ninaona wengi ni wauza sura, wapata Sifuri, wabana pua, masharobaro nk.
Wale tuliosoma shule
ya wajanja AZANIA tujuane kupitia hii thread kwa kukumbushana vituko na
vijambos vilivyotokea kipindi hicho upo ndani ya shamba la
One(Azaboys)...........Tafadhali kama unaona haikuhusu unaweza ukaiacha
hii thread kwa inayo wahusu kuliko kuchangia vitu visivyoendana na hii
thread
Vichwa Vya Azania
aza boy enzi yetu... ukitoka aza boy pugu... div 1 za kumwaga bila kupata math 45 hakuna aza boy sio nyie watoto wa 2010 math 28 unaenda aza...
Gonga hapa,
[post=3148719]Kwa waliosoma Azania...![/post]
Dogo unafanya marudio tu. Zipo thread kibao za AzaBoys (ASS) hapa JF!
Azapound-the big nation enz za kwayu, mchwa, lyoba, shija, tokyo n.k = mi dv 1 ya kumwagilila mpaka kuzasa 1995>1998, na 1999>2001. ILA MADOGO WA SASA WANAAIBISHA CHAMA. SHAFII DAUDA (CLOUZ) EBU WAAMBIE MADOGO