Kuna kitu kinaitwa influence, popularity na viewers/visitors.
ukiwa na app nzuri ama web nzuri unaongeza visitors na hvo kushawishi makampuni kujitangaza kupitia kwako. hapo utapata hela ya matangazo
ukiwa na web kali ama app kali basi jua makampuni yatakuja kwako ili uwatengenezee platform zao ambapo utapiga hela ya design na development.
kwa mmiliki wa kitu kama JF anakuwa na umaarufu, special treaties na hio tayari inampa access kwa mambo mengi kama kuonana na watu wakubwa na kupata deals nzuri kirahisi.
*ukiwa na web ama app popular sana, maana ake ni kwamba ww ni moja kati ya wengi ambao hufanya watu watumie internet zaidi hvo unakuwa unalipwa some percent na wenye kuimiliki internet maana unawaingizia hela kadri watu wanavoitumia.
NB: hii line yenye * ni assumption cna hakika sana. Ila uhakika uliopo ni kwamba taasisi kama hii ina host space kubwa sana ktk server kiasi kwamba na wao wanauza hosting space kwa watu baki.