Mnaanzaga kwa mbwembwee .mwishowe kila siku matangazo ya kusitisha safari za treni!
Hivi hakuna jambo tunaweza kujadili ktk malengo ya kitaifa, na sio mlengo wa vyama?kama ufipa wanaanza kwa mbwembwe ohh tunaenda na fulani baadae wanasusa au vipi
Hivi hakuna jambo tunaweza kujadili ktk malengo ya kitaifa, na sio mlengo wa vyama?
Whaaaat?Moshi - Dar itakuwa ni safari ya siku 8
Mkuu maendeleo ya Nchi ni kila kitu kipo na watu wote wanapata abiria kutokana na ongezeko la watu jiulize inakuaje Nchi zilizoendelea huduma zote zipo na hakuna anaelalamika hata huku itafikia hivyo bus zipo,treni,tax, coaster,maroli na wote wanapata pesa mbona Mbeya Treni tumeikuta na watu bado wanaagiza bus na biashara wanafanya ishu ya mwendokasi mlisema hivyo hivyo wengine walikimbia kumbe kinachoongelewa hakipo...
Itakuwaje siku 8 Dar - Moshi, wakati Kigoma - Dar ni siku 3?Moshi - Dar itakuwa ni safari ya siku 8
Itakuwaje siku 8 Dar - Moshi, wakati Kigoma - Dar ni siku 3?
Tena ukitumia Express ni 24 hrs Dar to Kgm.
Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.
Watu wa mabasi wengi washenzi tu natamani zije nyingi, ushenzi wao ni kipindi cha sikukuu hasa December wanapandisha nauli maradufu ili kukomoa watu.Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa malori Kenya walikua wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.
TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakua na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).
Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.
Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna alielipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande kosta au Eicher.
Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote
Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi
Utafeli tu hata ukiombea mabayaMoshi - Dar itakuwa ni safari ya siku 8
kama ufipa wanaanza kwa mbwembwe ohh tunaenda na fulani baadae wanasusa au vipi
Wafanyabiasha wa Kanda ya kaskazini huwa wanajifanya Wana vichwavigumu kwenye kufanya biashara.ila kwa hili la train ya dar Moshi yafuatayo yatatokea.Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.
TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).
Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.
Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.
Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote
Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.
Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

Kuna mdau hapo juu kasema dar -kigoma ni siku3 wakati kwa basi si zaidi ya masaa 18 kama ni kweli basi shirika la reli ndio lijipange na sio wamiliki wa mabasi...ata kama hyo tren itakua na kumbi za starehe ndani bado siwezi kupoteza mda wangu njiani.