We umezimua asubuhi hii,si bure,ungeanza na supu kwanza mkuu.Kikao cha wenye BAR, walevi lazima tuingie, msije mkawa na mikakati ya kuturoga sorry "kutukamata".
baa kabaaukaribuanjauwanjanwaiKinesihmbumchanaag nikamuungishe leo Mwenye
Kikao cha wenye BAR, walevi lazima tuingie, msije mkawa na mikakati ya kuturoga sorry "kutukamata".
baa kabaaukaribuanjauwanjanwaiKinesihmbumchanaag nikamuungishe leo Mwenye
Mkuu walevi mnapendelea mambo gani bar ili tujipange kuwahudumia?Kikao cha wenye BAR, walevi lazima tuingie, msije mkawa na mikakati ya kuturoga sorry "kutukamata".
baa kabaaukaribuanjauwanjanwaiKinesihmbumchanaag nikamuungishe leo Mwenye
Mkuu toa maoni yako kama mteja.Hahahaaha, hawa jamaa wanataka kututenga wadau wao.
Pamoja mkuu.Hiyo namba moja ndo uchawi wenyewe ulipo.Bar sio majengo mazuri bali wahudumu wazuri.Ukipata wale laini laini hapo lazima mzee baba tutie maguu kusuuza roho zetu.
Kwa maana hiyo mameneja lazima tuwapige bit kuchukua wahudumu?Tatizo mmiliki anaweza kuchukua totoz safi kabisa akaziweka pale kupiga kazi, tatizo mameneja wanajilia halafu wanakuwa na wivu balaa, wateja mnaachwa solemba
Asante mkuu kwa maoni haya. Unamaanisha ni sawa wahudumu kutembea na wateja?Kwenye bar jiko ndio linabeba kila kitu....jiko ndio linaipa bar maisha,ukiwa na jiko linalotoa vyakula vya kueleweka bar yako haitokauka kamwe...
Pili uchangamfu wa wahudumu na kauli zao,,wasiringe sana, wawe na kauli hata mteja anakua na imani ipo siku nitaondoka nae...naomba kuwakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kupata mwanamke mwenye uwezo wa kusimamia hiyo kazi ni ngumu. Ishu ni uwezo tu, wanawake hawawezi kutumia msuli na pia wana dharula nyingi.Wamiliki ninaswali kwenu ,kwa Nn hamuwekaki Mameneja Wa Kike ,mnaweka njemba tu halafu yanang'ang'ana na wahudumu Warembo ? Majibu plz Wamiliki ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza kabisa ni wahudumu wenye ukiwaona unabanwa na haja, sio unaweka wahudumu wenye hawana utofauti na wanaumeMkuu walevi mnapendelea mambo gani bar ili tujipange kuwahudumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu.Cha kwanza kabisa ni wahudumu wenye ukiwaona unabanwa na haja, sio unaweka wahudumu wenye hawana utofauti na wanaume