Wamependeeeza wenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamependeeeza wenyewe

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 12, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Wamependeza lakini wanamshangaa mzungu alivyopendeza zaidi ya wao kasheshe kweli na dunia yetu Mbuzi Mzee
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tamaduni zinatofautiana sana aisee binadamu kwa binadamu wanashangaana si mchezo
   
 4. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Wanamshangaa mwenzao na bibie wala hana habari....
   
 5. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Usishangae wanamkandia hapo kwamba ni kafiri, wakati naye anawaza kwa nini watu hawa wamejighubika maguo meusi wakati wa joto hivi kama sio wanawake kukandamizwa na mfumo dume? Kumbe kizuri kwako sio kizuri kwangu.
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hao wanamkandia kwa kusema anatembea uchi wakati vipaja kama vya njiwa,bahati yake sisi haturuhusiwi angeona mapaja huyu.
   
 7. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  wanatamani waangekuwa na uhuru wa kuvaa kama wanavyopenda
   
 8. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu mbuzi mzee unaniacha hoi na picha zako
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mtume simama....astaghafurilahi......
   
 10. hetu

  hetu Senior Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama wangelikuwa na uhuru wa kujiamulia mavazi wayatakayo siajabu wangevaa nguo fupi zaidi ya huyo mzungu.
  kinacho wabana hapo ni sharia. Yaani jua na joto kali la Uarabuni halafu unavaa nguo nyeusi??
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani nani amesema mtume ni mama?joke
   
Loading...