4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,512
- 13,349
Hivi jambo limearibika au zipo dalili za kuaribika kwa nini usilaze mshale mbele mapema some time Tunataifa hujifanya smart
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Jasusi la Mbinguni ndo kiboko ya maccm wenzake ile ni taasisi inayotembeaSasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?