Wamemdaka, simu zake wanazo!

Wamemdaka, simu zake wanazo!

Wanajaribu kutengeneza kesi; kesi kubwa zaidi kuliko kesi feki ya Lissu. Wanataka kujua alikuwa anawasiliana na nani, wanawasiliana nini, na katika mawasiliano hayo kulikuwa na jambo lolote ambalo liliweka maisha ya Rais hatarini. Wanajua kilichotokea kwa JPM kwani baada ya kosakosa ya lile lililotokea Kusini, JPM hakumuona chawa aliyekuwa nguoni. Hili kosa hawa wahakutaka kulifanya.
Makampuni yote ya simu tanzania yanauza taarifa za wateja wakati wote..hata bila kuchukua simu zake wanamjua ndani nje..
 
Gobore tumpore,
nyegere mwendo wa pore,
kichaa chechere,
anatoa na kuweka bure,
ukipinga nong'ona chumbani isisikike kwenye sebure,
utatumbuliwa bure,
upewe kesi ya uhahini na kisebure.
ehauri lako mpole mpore achecheta achecheteee.
Wameua watu kama Kibwetere,
Baadhi yetu tumekuwa wanasesere,
Chanzo cha haya yote ni Nyerere,
Thatha thithi thote thiyo wapare.
 
Back
Top Bottom