secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,454
Karibu tena jukwaa.Safi bwashee
Karibu tena jukwaa.Safi bwashee
Mbinu za kishamba sana wanatumia.Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Wanasema aliweza kumfuata Mwenzie na wakaongea iweje aje kumsema sema kwenye hazara na press za bei ya jioni ?nafasi ya kumsikiliza. Samia katumia Uamuzi wa Hasira
Hii ilikuwa Imetengenezwa formula ya kuanzisha ACTGodbless Lema alimnyang'anya laptop aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha bwana Samson Mwigamba. Walipoipekua wakakukata Walaka wa kumpindua Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
Hapo kwenye ccm weka tiss..acha kujizima dataWanataka waone anawasiliana na nani. Yaani kupitia simu zake na laptop, watagundua watu wake wa karibu Serikalini. Mwanzo na Mwisho wa CCM. Huwezi mvua mtu Uanachama bila kumpa nafasi ya kumsikiliza. Samia katumia Uamuzi wa Hasira na Umbumbumbu.
Hii thread imenikumbusha Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo Walivyofukuzwa CHADEMA.
Godbless Lema alimnyang'anya laptop aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha bwana Samson Mwigamba. Walipoipekua wakakukuta Walaka wa kumpindua Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.
Godbless Lema akapeleka ile laptop na Walaka kwenye Kikao cha Kamati Kuu.
Ule walaka uliposomwa ndo ikawa mwisho wa Zitto Kabwe Mkumbo na wenzie walikuwa wanatumia majina ya kificho MM.
Wakaenda kuanzisha ACT WAZALENDO
Tusubiri tu itajulikana.Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?
Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?
Itazaa matunda? Matunda gani hasa?
Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Kwani TISS ina tofauti gani na CCM?. Ficha upumbavu wako.Hapo kwenye ccm weka tiss..acha kujizima data
Gobore tumpore,Yaani ikisharia kengere,
We kimbia mbere kwa mbere,
Shughuli kaisimamia Mkwere,
Yaani kashiria kabisa gobore.
Wewe ndio mpumbavu..ccm haipo!Kwani TISS ina tofauti gani na CCM?. Ficha upumbavu wako.