YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,050
Takbiriiiiii hivi kwa sheria za kiislamu hawa wanatakiwa wafanyiwe nini?Manaswara mna taabu sana!What were they waiting for all those yers?Walikuwa wanazini tu miaka yote 7 na kutafuta mali?
Takbiriiiiii hivi kwa sheria za kiislamu hawa wanatakiwa wafanyiwe nini?Manaswara mna taabu sana!What were they waiting for all those yers?Walikuwa wanazini tu miaka yote 7 na kutafuta mali?
wako wanaume pia wasio na mchango wowote hawaleti cha kupika dawa yao hii hapa kutoka kenya kukata nani hii yaoNiliwahi sikia watu wa Ustawi wakasema kuwa hata mgawanyo wa mali wanaangalia uthibitisho wa mchango wako... sio kuwa ulikuwa wapika ndo upewe mgao
Section 160 of Law of Marriage Act.
Lazima wathibishe kwanza kama kuna ndoa.
Then, hiyo ndoa ivunjwe.
Halafu mali zilizochumwa wakati wa ndoa (miaka miwili baada ya kupata hadhi ya ndoa).
Mali zilizochumwa kabla ya ndoa hazitahusika kwenye mgawanyo.
Kwa hiyo, huyo mke aende mahakamani ili kupata anachokitaka.
Mahakama ya mwanzo
hapa sasa kuna pointNdio maana ya presumption kaka ....sibishani na ww lkn ulitakiwa kuelewa hoja yangu mapema 'presumption' ukiweka hilo neno ni subject kuwa proved mahakamani infact hiyo presumption inaweza kupingwa Kwa ushahidi vile vile....rebbutted...ndio maana ya rebuttable presumption of marriage.....
Nachukia sana mtu muongo haswa anaehitaji msaada kwa kusema ni mtu mwingine ndiye anahitaji....utasikia rafik yangu anaumwa gonjwa anahitaj msaada,rafiki/ndgu yangu ameeachika anaomba ushaur wa kisheria nk.
Hakuna mtu asiyepata matatizo so sioni haja kudanganya pia inabidi utambue ukisema tatizo ni la mtu nwingine halitopewa uzito kama ukisema ni lako wewe
Mzinifu mwanume na mzinifu mwanamke ambao hawajafunga ndoa wapige mijeledi mia kila mtu alafu wahamishwe mji.Takbiriiiiii hivi kwa sheria za kiislamu hawa wanatakiwa wafanyiwe nini?
Nimependa hapo kwenye rangeFicha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...
Nahis kuna mchepuko uko unamdanganya,unamtia tamaa ya mali kwamba mkiachana mtagawana nusu kwa nusu m akili za wanawake nazijua tu sis kwa taarifa yake hapo hapat kitu mwambie kaka yako awe makin na documentNdio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
pumbavu liongo likubwa sheria gan ya ndoa 1972 mwaka ?Mijitu ya lumumba uongo ni tabia,We LibashiteNdio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
Mijitu ya lumumba uongo ni tabiaNahis kuna mchepuko uko unamdanganya,unamtia tamaa ya mali kwamba mkiachana mtagawana nusu kwa nusu m akili za wanawake nazijua tu sis kwa taarifa yake hapo hapat kitu mwambie kaka yako awe makin na document
Ondoa ujïnga kudandia vit usivvyovijua.You are neither woman nor Man.Just get lostNdio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
Duuh mkuu angalia boda wasikwangue hiyo range 😀 😀 😀Ficha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...
Mkuu umesoma sheria chuo gani?Ndio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
Naomba lift mkuu maana sijawai panda range mieFicha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...
kama title zinasomeka majina yao wote wawili watagawana kama kila mali ina jina binafsi hakuna kugawana kila mtu anasepa kivyake na chake kama wana watoto mgawo utahusu watoto zaidi ambapo mali za kila mzazi zitatakiwa kumegwa kwa ajii ya watoto
Bashite huyo mķuuSheria inataja mali zilizochumwa wakati wa ndoa, haijalishi ina majina ya wawili au mmoja.
Soma kifungu cha 114 cha Sheria ya Ndoa, 1971.
Properties acquired jointly during the subsistence of marriage.
Hata kama mmoja wa wana ndoa kazi yake ilikuwa kitandani tu, naye anapata mgao maana ni kwa kazi hiyo ya tendon la ndoa mwenzake akapata nguvu kutafuta hizo mali.
Soma kesi ya Bihawa Mohamedi
huu ni msimamo wa kisheria au ni fikra zako mkuu??kama title zinasomeka majina yao wote wawili watagawana kama kila mali ina jina binafsi hakuna kugawana kila mtu anasepa kivyake na chake kama wana watoto mgawo utahusu watoto zaidi ambapo mali za kila mzazi zitatakiwa kumegwa kwa ajii ya watoto
mkuu acha bangiHakuna kitu kama hicho.Sheria ya ndoa ilipopitishwa mwaka 1971 ilisema hivi kwa wale walioishi miaka miwili na zaidi kabla ya sheria hiyo ya ndoa kupitishwa watambuliwe kama wana ndoa.Baada ya sheria ya ndoa kupitishwa 1971 ina maana kuanzia hapo mtu anatakiwa afunge ndoa kutambuliwa kama ni mke au mume .Hao sio mke na mume hata kama wameishi miaka 20
UMEPAKI "RANGE" dah maisha hayaFicha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...