Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

Hakuna kitu kama hicho.Sheria ya ndoa ilipopitishwa mwaka 1971 ilisema hivi kwa wale walioishi miaka miwili na zaidi kabla ya sheria hiyo ya ndoa kupitishwa watambuliwe kama wana ndoa.Baada ya sheria ya ndoa kupitishwa 1971 ina maana kuanzia hapo mtu anatakiwa afunge ndoa kutambuliwa kama ni mke au mume .Hao sio mke na mume hata kama wameishi miaka 20
Hii siyo kweli, kifungu cha 160 bila kukosea kinazungumzia dhana ya ndoa, (presumption of marriage) kwamba huo muda ukipita na kama walikuwa wanaishi maisha ambayo yanaonyesha kama walikuwa wanaishi kama mume na mke basi huchukuliwa kuwa walikuwa ni wanandoa. Ila pia ikumbukwe hii siyo ndoa kwani yoyote kati ya hawa hawezi kuomba kutengana au talaka na zaidi dhana hii ya ndoa hutumika kama utetezi (defense na siyo kigezo cha kushtaki.
 
Kuikomboa nchi hii bado kuna safari ndefu sana ,nimejaribu kufuatilia michango ya members karibu wote ,yaani nimesikitika sana baadhi kutokujua vitu vidogo kisasi hichi ambavyo ni very basic na vipo kwenye public domain ,hauitaji kuwa lawyer kujua kuwa hapo Mali lazima wagawane .
 
Vitu vya kawaida jamani....kwani kuna Range ngapi mjini humu!!....hizo range zinamilikiwa na watu sio nyani na hao watu miongoni mwao ndio kina sie....hv ni kweli kumbe JF wamejazana watu waliochoka sana!!....range ni kigali tu....labda ungeniuliza toleo la mwaka gani....aah jameni!
Hata mimi ninayo, nawashangaa hao wanaokukomalia
 
Wala usishawishike; endelea hivyo hivyo na msimamo wako

Nenda katafute familia za ndugu/rafiki zako ambao wameshafariki; afu angalia hao ndugu wa damu ni wangapi wana mchango kwenye maisha ya watoto wa marehemu. Jibu kaa nalo
Waongea ukweli mtupu.
 
Kuikomboa nchi hii bado kuna safari ndefu sana ,nimejaribu kufuatilia michango ya members karibu wote ,yaani nimesikitika sana baadhi kutokujua vitu vidogo kisasi hichi ambavyo ni very basic na vipo kwenye public domain ,hauitaji kuwa lawyer kujua kuwa hapo Mali lazima wagawane .
Huo ulazima wa mali kugawana sio lazima, inaweza kuwepo Exception katika hilo jambo. Mfano, mwanamke alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine ikapelekea hata kupata mtoto huko nje huku akiwa na mwanaume huyu aliyeishi nae, ndugu hapo utalia utakavyolia hutopata hata Mia Nyekundu
 
Ficha ujinga kaka....utachekwa na wanaojua...kwanza hatuna sheria ya ndoa ya mwaka 1972....Tz tuna sheria ya ndoa ya mwaka 1971....iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002....kifungu cha 160(1)....kipo wazi kimezungumzia presumption of marriage....to quote a few words Kwa faida yako kinanasema......where it is proved that a man and woman hv lived together for two years or more,in such circumstances to hv acquired a reputation of being husband and wife,there shall be rebuttable presumption that they were duly married...huwezi amini nimepaki range pembeni nakujibu ww...
Mkuu umenifurahisha duh, kwa hasira imebidi upaki range.
 
Ukisha ishi na mwanamke/mwanaume kinyumba zaidi ya miaka 2 hiyo ni ndoa tayari Presumption of marriage....161 of LMA...kama sikosei
Hakuna kitu kama hicho. Tafuta kitabu cha sheria ya ndoa 1971, hiyo dhana yako utaiondoa.
Hata mkiiahi miaka mia bila ndoa ni ubatili mtupu, na hakuna anayebanwa na sheria ya ndoa.
Kama kuna risiti ya manunuzi kila mmoja atasunda cha kwake.
Nyumba itaangaliwa hati nk nk.
 
Hakuna kitu kama hicho.Sheria ya ndoa ilipopitishwa mwaka 1971 ilisema hivi kwa wale walioishi miaka miwili na zaidi kabla ya sheria hiyo ya ndoa kupitishwa watambuliwe kama wana ndoa.Baada ya sheria ya ndoa kupitishwa 1971 ina maana kuanzia hapo mtu anatakiwa afunge ndoa kutambuliwa kama ni mke au mume .Hao sio mke na mume hata kama wameishi miaka 20
. Upo sahihi 100% mkuu.
 
H
Ndio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
Huna unachokijua. Embu acha kudanganya watu hapa
 
Hakuna kitu kama hicho. Tafuta kitabu cha sheria ya ndoa 1971, hiyo dhana yako utaiondoa.
Hata mkiiahi miaka mia bila ndoa ni ubatili mtupu, na hakuna anayebanwa na sheria ya ndoa.
Kama kuna risiti ya manunuzi kila mmoja atasunda cha kwake.
Nyumba itaangaliwa hati nk nk.
Ulisemalo ata Mimi ninakubaliana nalo, haiwezekani upewe nafasi ya kufunga ndoa kisheria au kidini, wewe kwa sababu unazozijua wewe haujataka kufanya hivyo, baadae matatizo yakitokea unataka upate haki kama MTU aliyefunga ndoa kwa kigezo cha presumption of marriage.

Presumption of marriage kama kweli inatumika inabidi iangaliwe upya.
 
My friend. Miaka 7 huyo ninmke wake wa ndoa. Wanagawana Mali nusu kwa nisu
 
Mie naamini hawana cha kugawana kama nyumba naamini hawajajenga, hawana gari, upuuzi wanini sisi kutuletea ujinga hapa. Waambie watu wenye akili za maisha hawana muda wa kupoteza kwenye migogoro shuwain wahed.
Mie nimegombana nimeachana na mke wa ndoa na nimemuachia kila kitu sembuse hao vimada.
 
JF Habarini za asubuhi!!!
Rafiki yangu ni mfanya kazi na mkewe ni mfanyakazi pia wameishi miaka saba pasipo kufunga ndoa ya aina yoyote na sasa wanamgogoro wanataka kuachana wananyumba,wanamagari,viwanja na vingine vingi.
Je? Sheria ikoje kama wakiachana kwa sababu mwanamke anasema atafuata sheria na yeye ndo anatoa msukumo wa kutaka kuondoka. Wanasheria mnasemaje kuhusu Mali walizochuma je watagawana au Vipi? Kwenu wataalam
As far as wamekaa pamoja zaidi ya miezi sita Basi hiyo ni ndoa na katika ugawanaji wa Mali atajulikana Kama mke so ni pasu pasu
 
Hakuna kitu kama hicho. Tafuta kitabu cha sheria ya ndoa 1971, hiyo dhana yako utaiondoa.
Hata mkiiahi miaka mia bila ndoa ni ubatili mtupu, na hakuna anayebanwa na sheria ya ndoa.
Kama kuna risiti ya manunuzi kila mmoja atasunda cha kwake.
Nyumba itaangaliwa hati nk nk.
Tafuta maamuzi ya mahakama ya karibuni kwenye hoja hiyo sio kitabu...
 
Back
Top Bottom