reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,828
- 21,938
mkuu just hate me if its what make you happy,I hate mwanandoa anayependa kusema maneno ''ndugu zako'' ndugu zangu'' ndugu wa kuzaliwa'' in reference to mwenzake kwenye ndoa. Wanandoa wa aina hii mara nyingi huwa ni wale wanaoishi mguu mmoja nje mwingine ndani na utakuta wana makandokando mengi. Siyo kama nakataa kuwa kila mwanandoa ana ndugu zake ila ukishaona mmoja wa mwanandoa anapenda sana kuyakariri basi ujue ana walakini. Ni kutokana na experice yangu.
Nikitofautiana na mtu kimtazamo nampenda sbb ananipa changamoto ya kuwaza upande wa pili.